Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Kwa upande wake msemaji wa CHADEMA Boniface Makene, akizungumza na millardayo.com amesema Freeman Mbowe amekamatwa wakati akiwa njiani kuelekea kituo cha polisi kwa mahojiano.
Amekamatwa akiwa njiani, hapo njiani alipokamatiwa ni wapi?
 
Hongera wewe PAPAI la kisasa,maana mapapai mwitu tunajua kujitafutia chakula sasa mapapai ya kisasa sijui mkishapigwa chini mnafanyaje.
Vipi ule ushauri wa Lissu mwenyekiti mbona kaupuuzia unaweza kutuambia kitu gani kimepelekea M/kiti kujipeleka mwenyewe Central(kwa mujibu wa Makene) na alikazana kuwa hatokwenda? dadavua kidogo Anty Tetty
 
kukamatwa na polisi jambo la kawaida sana sasa hivi, obviously angekamatwa sooner or later
Kama alifahamu hivyo ni kwa nini ajifiche? Haoni kwa kujificha anatoa mwanya kukisiwa ni mhalifu kweli? Yaani unaacha hata kwenda kanisani kisa unatafutwa na polisi! Nadhani hashauriwi vizuri
 
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.

Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.

Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.

Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA
kwamba alikuwa anajifichasio kweli ni urongo wako tu.kwamba kuna safe house ni urongo wa pili,kwamba amekamatwa akitolewa appartment moja kwenda nyingine ni urongo wa tatu.ukweli ni ule alioueleza mwenyewe Mheshimiwa Mbowe na unaopigiwa kelele kwa taratibu zifuatwe.haifai na haina afya kwenye demokrasia kiongozi mkuu wa upinzani kuitwa kama tunavyoitwa sisi .
 
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.

Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.

Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.

Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA
Uwe unaripoti vitu vya ukweli.......ni aibu kuwa muongo muongo
 
Kwa sababu kaguswa mungu mtu Mbowe....
Hahahahaa hapana mkuu Mbowe sio mungu mtu ila baba jesca ndio mungu mtu na anataka apewe hadi cheo cha maraika mtoa uhai wa watu ili awanyoooshe wale waliomkwamisha kipindi cha nyuma.

Ila ukweli unabaki kuwa Mungu sio sizonje yeye hufanya kila jambo kwa wakati na utashi mkubwa yeye hafi wala haugui.
Ila huyu anayetaka apewe hadi uisrael mtoa roho za watu ipo siku atakufa na tutalitandika hadi kabuli lake kwa bakora kudadeki.
 
Nilikuwa nahisi ndio kazi yako. Ila kwa sasa nashukuru umekiri mwenyewe. Kazi njema mkuu
Mkuu,mtu akiwa kilaza ni shida kwake binafsi,familia yake,ndugu,jamaa,marafiki na hata Taifa. Kweli mtu anakiri mwenyewe kwamba "ana kazi ya kuitetea CCM na serikali", lakini akiambiwa mkono wake hauendi kinywani bila "buku 7" anakuwa mkali.
Vijana wa Kitanzania hao.
 
Kwa upande wake msemaji wa CHADEMA Boniface Makene, akizungumza na millardayo.com amesema Freeman Mbowe amekamatwa wakati akiwa njiani kuelekea kituo cha polisi kwa mahojiano.
wanasema eti ameenda mwenyewe Kamanda sirro anasema wamemtia Nguvuni
 
mbowe hajui kwamba hii ni serikali nyingine hata angejificha wapi angekamatwa ni swala la muda tu
 
Mod 1 Mod 2 Mod 3 Moderator Maxence Melo tendeeni heshima hili Jukwaa kuhusu habari za Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe
Kwa upande wake msemaji wa CHADEMA Boniface Makene, akizungumza na millardayo.com amesema Freeman Mbowe amekamatwa wakati akiwa njiani kuelekea kituo cha polisi kwa mahojiano.
tmp_833-Screenshot_2017-02-20-17-01-38-1097479160.png
tmp_833-Screenshot_2017-02-20-17-01-541362215869.png
tmp_833-Screenshot_2017-02-20-17-01-13-1421235728.png
 
Kwa upande wake msemaji wa CHADEMA Boniface Makene, akizungumza na millardayo.com amesema Freeman Mbowe amekamatwa wakati akiwa njiani kuelekea kituo cha polisi kwa mahojiano.
Hahahahahahahaaaaaaaa! Mnabadili santuri tu. poleni sana
 
wanasema eti ameenda mwenyewe Kamanda sirro anasema wamemtia Nguvuni
Kwa upande wake msemaji wa CHADEMA Boniface Makene, akizungumza na millardayo.com amesema Freeman Mbowe amekamatwa wakati akiwa njiani kuelekea kituo cha polisi kwa mahojiano.
Alikuwa anaenda kituoni
 
Ka muvi ya samel doe, makamanda wanajificha kwenye mahandaki yeye kwenye apartment! Mh nikama muvie ya kihindi.
 
Back
Top Bottom