Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
real video full
Nampongeza sana muheshimiwa makonda kwa hatua hii alaf natamani sana aisikie na hii audio ili moto uwe mkubwa zaidi kwa wema na huyo mwenzake anae ropoka kwenye background... Funga kabisa hawa watu wanatesa sana vijana kwa madawa.. Alaf muheshimiwa usiogope kuchukiwa na watenda dhambi wachache... Hata Yesu hakupendwa na watu wote sembuse wewe??? Funga kabisa wakaponde kokoto za reli yetu mpya ya standard gauge kama muheshimiwa jpm alivoagiza...
Anajitatiza kwa kusema mbona fulani kaachwa ina maaana kipo ukijuacho ama nawe ni mshirika aaache kukurupuka kufungwa easy sana ohhhhhh
Acheni woga nyieAnapotezwa hivihivi tunaona
Hakuna anayeonewa acha wanyookeIlo jibu mbona lipo wazi amejuaje vyombo vya habari sivilimtangaza uyo Agnes amekamatwa na poda south kilakitu kipowazi paka aliyemtuma anajulikana wala sio siri hao wakina wema wanaonewa tu
we nae kwani huyo aliemtaja si anajulikana na watu tu toka akamatwe sauz cha ajabu kip?Kinachomuuma Wema sio kuwekwa ndani, yeye anaumia tu kwa nini Masogange hajatajwa? Hawa kumbe wanajuana, ngoja nile zangu popcorn.
![]()
======
Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia mwanadada mashuhuri Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha tukio hilo na hila dhidi yake.
Pamoja na mambo mengine, Wema amedai kwamba RC Paul Makonda anatembea na Agnes Masogange na amempangia nyumba Makongo ndio maana hajakamatwa ktk kadhia ya Dawa za Kulevya.
Operesheni ya kukamata wanaojihusisha na madawa ya kulevya ilianzishwa na Paul Makonda mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo alitaja majina ya watu mbalimbali wanaohitajika kituoni kwa ajili ya mahojiano, wakiwemo wasanii na maaskari polisi.
Mhhh, chitemi wala chimung'unyi. Hii baraaaa!Kwani huyu Wema si yule binti aliyezunguka nchi nzima na mama Samia?
======
Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia mwanadada mashuhuri Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha tukio hilo na hila dhidi yake.
Pamoja na mambo mengine, Wema amedai kwamba RC Paul Makonda anatembea na Agnes Masogange na amempangia nyumba Makongo ndio maana hajakamatwa ktk kadhia ya Dawa za Kulevya.
Operesheni ya kukamata wanaojihusisha na madawa ya kulevya ilianzishwa na Paul Makonda mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo alitaja majina ya watu mbalimbali wanaohitajika kituoni kwa ajili ya mahojiano, wakiwemo wasanii na maaskari polisi.
=====
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda Simon Sirro amesema kuwa mpaka sasa Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa wa Dawa za Kulevya 112 na jumla ya kete 299 huku 12 kati yao wakifikishwa Mahakamani.
Kwa taarifa hii soma > Makonda: Watuhumiwa madawa ya kulevya kuanza kupandishwa kizimbani leo au kesho