Remy ongalaHivi kuna mtu anaujua ule wimbo unaimba unasema.
Weemaaa wema ******* nyokoo*** hvi nani ashawahi kuusikia huu wimbo??
Hivi kuna mtu anaujua ule wimbo unaimba unasema.
Weemaaa wema ******* nyokoo*** hvi nani ashawahi kuusikia huu wimbo??
HakikaHata mgeuze story vipi daima Mh. Makonda sitamsahau kwa ujasiri na uzalendo aliouonyesha. Huyo Wema alitaka apagishiwe Yeye?
WordBakizeni maneno-mimi naomba mahakama zetu ziwe na weledi ili kama kuna hukumu ziwe za haki. Maneno ya Wema yana tafsiri nyingi labda kwa wale wanaomfahamu vizuri lakini wengi humu ni hisia tu. Kuna maneno ameyasema yanaweza yasiwe mazuri lakini hayo si ushahidi kwamba anahusika au hahusiki-na ndio maana tunatakiwa kufuata mchakato wa sheria (weledi na maadili).
nani tena kamrekodi Wema? Wema kuwa makini, sio wote wanaokuja kukuona ni marafiki; wengine ni wanafiki. ona sasa!
======
Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia mwanadada mashuhuri Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha tukio hilo na hila dhidi yake.
Pamoja na mambo mengine, Wema amedai kwamba RC Paul Makonda anatembea na Agnes Masogange na amempangia nyumba Makongo ndio maana hajakamatwa ktk kadhia ya Dawa za Kulevya.
Operesheni ya kukamata wanaojihusisha na madawa ya kulevya ilianzishwa na Paul Makonda mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo alitaja majina ya watu mbalimbali wanaohitajika kituoni kwa ajili ya mahojiano, wakiwemo wasanii na maaskari polisi.
=====
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda Simon Sirro amesema kuwa mpaka sasa Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa wa Dawa za Kulevya 112 na jumla ya kete 299 huku 12 kati yao wakifikishwa Mahakamani.
Kwa taarifa hii soma > Makonda: Watuhumiwa madawa ya kulevya kuanza kupandishwa kizimbani leo au kesho
Mange yuko smart upstairs??Nop! Mange is very smart upstair that girl. You wont catch her like a sitting rabbit
Mmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.
Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa
Umemaliza form four enzi za JK?Hahaha thank u. Form four nilishamaliza zaman enzi za jk
Umemaliza form four enzi za JK?
Nakudai shikamoo nyingi sana mkuu
Mwiko kuingilia wala kujadili iliyopo mahakamani tu.Huyo mange ndo anamuaribia wema,bora hata wakina kajala wanavyokaa kimya,kesi ikishakua polisi ni mwiko kuingilia
Mchepuko Agnes masogange umesitiriwaRaid kasema hats make wake akamatwe lakini Hugo Dogo kausitiri mchepuko wake...!!