Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Wema hana jipyaa anania ya kumpaka matope Rc wetu na kumkatisha tamaa. Hapa kz tu madawa gerezan
 
Bakizeni maneno-mimi naomba mahakama zetu ziwe na weledi ili kama kuna hukumu ziwe za haki. Maneno ya Wema yana tafsiri nyingi labda kwa wale wanaomfahamu vizuri lakini wengi humu ni hisia tu. Kuna maneno ameyasema yanaweza yasiwe mazuri lakini hayo si ushahidi kwamba anahusika au hahusiki-na ndio maana tunatakiwa kufuata mchakato wa sheria (weledi na maadili).
Word
 
Eti wana muhurumiwa wema harafu uyo alie mrekodi atamponza sana unazani fan wake wa instagram ndio watamsaidia sahau
 
Aisee hiyo record itamuumiza sana wema.. maana ndio anakoleza moto... na vile uongoz huu haupendi kutamkwa vibaya... bas tutarajie jambo
 


======

Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia mwanadada mashuhuri Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha tukio hilo na hila dhidi yake.

Pamoja na mambo mengine, Wema amedai kwamba RC Paul Makonda anatembea na Agnes Masogange na amempangia nyumba Makongo ndio maana hajakamatwa ktk kadhia ya Dawa za Kulevya.

Operesheni ya kukamata wanaojihusisha na madawa ya kulevya ilianzishwa na Paul Makonda mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo alitaja majina ya watu mbalimbali wanaohitajika kituoni kwa ajili ya mahojiano, wakiwemo wasanii na maaskari polisi.

=====
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda Simon Sirro amesema kuwa mpaka sasa Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa wa Dawa za Kulevya 112 na jumla ya kete 299 huku 12 kati yao wakifikishwa Mahakamani.

Kwa taarifa hii soma > Makonda: Watuhumiwa madawa ya kulevya kuanza kupandishwa kizimbani leo au kesho

nani tena kamrekodi Wema? Wema kuwa makini, sio wote wanaokuja kukuona ni marafiki; wengine ni wanafiki. ona sasa!
 
Konda wetu asijisahaulishe la form four, DSM imeshika mkia.......
Kubet kubet kubet kunaua elimu
 
Mmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.

Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa

Wema anakosa jingine la jinai kumtusi RC
 
Wema ni mzuro sano hawezi kubabaishwa na mkuu wa mkoa tu, maana yeye anajulikana ndani na nje ya nchi hii.
 
Suala la madawa na kupangiwa nyumba Masogange linahusiana nini, kama nayeye anadil na hiyo biashara nayeye zake zinahesabika.
 
Giza likizidi sana ndio kuna kabiribia kucha. Vita imefika penyewe. Waendelee kutajana mpaka list ikamilike. List ya JK nayo iwekwe hadharani. Baada ya hapo tuingie kwenye ujangili tukianzia na list ya JK kuanzia yule bosi wa majangili tuliyeambiwa yuko Ar. Waliokamatwa hawana cha kupoteza wakitupa list kamili
 
Huyo mange ndo anamuaribia wema,bora hata wakina kajala wanavyokaa kimya,kesi ikishakua polisi ni mwiko kuingilia
Mwiko kuingilia wala kujadili iliyopo mahakamani tu.
 
Raid kasema hats make wake akamatwe lakini Hugo Dogo kausitiri mchepuko wake...!!
 
Huyu Wema wakili wake msomi Martin Kadinda yuko wapi!? Hizi kauli zinaweza kumtia hatiani bila kujua. Analalamika mbu,alitegemea huko rumande angekutana na vipepeo!
 
Back
Top Bottom