Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Mpaka wathibitishe sauti ni ya wema....

Halafu kutukana ni miezi 6 tu jela

Kwanza wamuacheeeeeeee kama hawajapata kithibiti..... maubuyu na drama za mjini tutazipata wapi wakimweka jela????

Ila serious haki itendeke...kama anauza ashtakiwe na si kwa interest au kiki au kuuziwa zigo.... jela sio pazuri binamu
yaan wanaumuonea haswaa binti was watuu!!.
Ila ubuyu wa Leo wa Masogange...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenipa rahaaaa
 
kwa stage aliyofikia wema hata vigogo wengine wataogopa kumtetea wema,maana watakua against na serikali na magufuli sio makonda in person,yani wema Kajiongezea matatizo binmu,yani mpak nimefurahi uwii,naomba mungu atakane tena
binamuuu...loohhh
 
Ukioga kwenye dimbwi shurti unuke tope.Movie inakaribia kuwa serious
 
Tofautisha polisi na mahakamani ndugu

Halafu hivi wewe una ugomvi na huyo Wema? Naona unamtakia mabaya kila kukicha!
Mmemrekodi wenyewe na kumtangaza wenyewe povu la nini?...ametukana ndiyo!! Na kutukana ni kosa kisheria..usimshambulie ndugu yangu kwa kuongea uhalisia
 
Tatizo sio kukamatwa ama kushikiliwa kwa wale, tatizo ni makonda kuwaacha maswahiba zake ambao ni vibosile wa haya makitu.
 
Hivi tunda na vanessa mdee wameripoti?
Maana mpaka sasa sijaona picha zao wala waandishi wa habari
 
Aaa aaaaa Le big wanakusingizia bwana,kwani ye domo zege.da ila ule msambwanda si mchezo,muulize hata Huddah anaujua.
 
Mmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.

Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa

Sikiliza, wacha huyu mwanamke aisome namba. Alikuwa kiherehere namba moja wa CCM, alikuwa anapanda majukwaani kama celebrity na super star. Si ndo kioo cha jamii? Nadhani sasa tunapata picha kamili ya wale waliokuwa wanaipigia chapuo CCM. Tutaelewana tuu. Bull shit
 
Hapa Makonda sijui atasemaje mama yeyoo nyumbani! Maana huo nao msala mkubwa, sie tunamshangilia kuwa anapambana na mihadarati lakini mamsap yeye hata liona hilo zaidi ya habari ya Masogange kupangishiwa nyumba na kutoa pumziko kwa mumewe.
Ngoma inogile hapo, kama alivyosema Mwana Mtoka Pabaya kuwa ukiangalia mechi usiyo na upande ni raha sana.
 
Suala LA kutoka na Agnes sisi haituhusu wema usitafute huruma ya watanzania kama unahusika BA's tutajua kama huusiki tutajua vile vile... Labda angekua anatembea n wewe usingekamatwa??? Ha ha ha mwenye mamlaka kasema hata mkewe akihusika kamata wewe ni nani wema? Hiz ni tuhuma mahakama ndio itaamua unahusika au lah punguza pressure kwanza
 
Hapa wema anatafuta kesi nyingine. Wanasemaga mdomo huponza kichwa. Interesting

IQ yao ndogo sana ndugu. Kumbuka amefika hapo alipo kwa kutingisha kiuno na kuvua chupi, sasa wewe ulitaka Wema awe na reasoning capacity na ya graduate wa degree ya philosophy? Wema hajui reasoning, yeye anadhani hapo yuko stejini na mashabiki zake, ohoooooooo.
 
The Wema is drawning into the deep real 'sh*t ' !!!She seems hasn't spoken to her mum for sometimes now, uh!
 
Back
Top Bottom