yaan wanaumuonea haswaa binti was watuu!!.Mpaka wathibitishe sauti ni ya wema....
Halafu kutukana ni miezi 6 tu jela
Kwanza wamuacheeeeeeee kama hawajapata kithibiti..... maubuyu na drama za mjini tutazipata wapi wakimweka jela????
Ila serious haki itendeke...kama anauza ashtakiwe na si kwa interest au kiki au kuuziwa zigo.... jela sio pazuri binamu
binamuuu...loohhhkwa stage aliyofikia wema hata vigogo wengine wataogopa kumtetea wema,maana watakua against na serikali na magufuli sio makonda in person,yani wema Kajiongezea matatizo binmu,yani mpak nimefurahi uwii,naomba mungu atakane tena
Ohoooo!!!wanadai eti le akili kubwazzz ndo ulikuwa kuwadizzzz
Mmemrekodi wenyewe na kumtangaza wenyewe povu la nini?...ametukana ndiyo!! Na kutukana ni kosa kisheria..usimshambulie ndugu yangu kwa kuongea uhalisiaTofautisha polisi na mahakamani ndugu
Halafu hivi wewe una ugomvi na huyo Wema? Naona unamtakia mabaya kila kukicha!
Babes mambo vipi? Hujaitwayaan wanaumuonea haswaa binti was watuu!!.
Ila ubuyu wa Leo wa Masogange...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenipa rahaaaa
Mmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.
Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa
makonda huyu hivi hana style nyingine ya kusolve matatizo. kiki kila mahali
hakuna ajuae kesho
Pitia hii post[emoji116]Hivi tunda na vanessa mdee wameripoti?
Maana mpaka sasa sijaona picha zao wala waandishi wa habari
Hapa wema anatafuta kesi nyingine. Wanasemaga mdomo huponza kichwa. Interesting
Sana...yaan wanaumuonea haswaa binti was watuu!!.
Ila ubuyu wa Leo wa Masogange...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenipa rahaaaa
Kwani kakamatwa ye peke yake?Wema kaongea ukweli wengi wasioupenda me nina huakika hili suala limekaa kisiasa
SijauonaPitia hii post[emoji116]
Picha: Tunda akiwa njiani kuelekea polisi