Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmekupata mkuu kiswahili na history ni masomo ambayo ckuyapenda japo nilifahuru madam ujumbe umeeleweka pamoja sana mkuu1.= Ushahidi
3.= Hajatajwa
2.= Tayari
4.= Anahusika
Kwani madhumuni ya kurekodiwa yapi na zimepatikana wapi?Wafuasi kwenye mitandao ,how?! Sioni akijadili suala hili kwenye page zake
Nmekuelewa mkuu ila kwa issue hii niliongerea mada husika jinsi wema alivyo ropoka meaning that anajua in and out what is going on ahsante mkuuKwani mkuu nikisema kwamba mtu flani ni mwizi ni lazima mimi niwe mwizi au kuwajua wezi wote. Masogange ni drug dealer, au unajikuta umesahau kuwa alikamatwa South Afrika na madawa? Akamatwe na Masogange kisha aeleze aliyemtuma ni nani na alikuwa mzigo anaupeleka wapi hapa Tanzania?
You are innocent until proven guilty!Ni kweli kuwa wema kajiweka ktk wakati mgumu lakini kaeleza uhalisia pia deal wanalifaham HVO na masogange akamatwe ili watoe info ni wapi wanafata na kina nan ni big dealer wa hizi issue after that list iliyopo ikulu itajwe
Yes siwameamua kufunguka hakuna kua we una deal na mkoa au wilaya kama mh m. .amesuport issue shusha list
##mtz
======
Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia mwanadada mashuhuri Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha tukio hilo na hila dhidi yake.
Pamoja na mambo mengine, Wema amedai kwamba RC Paul Makonda anatembea na Agnes Masogange na amempangia nyumba Makongo ndio maana hajakamatwa ktk kadhia ya Dawa za Kulevya.
Operesheni ya kukamata wanaojihusisha na madawa ya kulevya ilianzishwa na Paul Makonda mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo alitaja majina ya watu mbalimbali wanaohitajika kituoni kwa ajili ya mahojiano, wakiwemo wasanii na maaskari polisi.
=====
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda Simon Sirro amesema kuwa mpaka sasa Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa wa Dawa za Kulevya 112 na jumla ya kete 299 huku 12 kati yao wakifikishwa Mahakamani.
Kwa taarifa hii soma > Makonda: Watuhumiwa madawa ya kulevya kuanza kupandishwa kizimbani leo au kesho