Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Mungu azidi kumsimamia makonda coz vijana ambao ni taifa la kesho linateketea! Tunategemea kujua mengi kutoka kwako
 
Naona madame anashindana na wenyenguvu zao.
Ipo siku ataongea kisw kilichonyooka kabsaa, aendelee na hizi swaga za kusema michepuko ya watu.
 
Nmekuelewa mkuu ila kwa issue hii niliongerea mada husika jinsi wema alivyo ropoka meaning that anajua in and out what is going on ahsante mkuu
 
Mchango wake wa kuzunguka Tanzania nzima kusomesha namba ndo umeishia hapo????
 
Hahah!
Ule msambwanda unawapeleka puta [emoji23][emoji23]
 
Ni kweli kuwa wema kajiweka ktk wakati mgumu lakini kaeleza uhalisia pia deal wanalifaham HVO na masogange akamatwe ili watoe info ni wapi wanafata na kina nan ni big dealer wa hizi issue after that list iliyopo ikulu itajwe
Yes siwameamua kufunguka hakuna kua we una deal na mkoa au wilaya kama mh m. .amesuport issue shusha list
##mtz
 
wema amepanic tu.yaani kashikwa yeye anamtaja masogange?kama alikuwa anajua kuwa huyo masogange anauza unga mbona hakuwahi kusema
 
You are innocent until proven guilty!
Kwahiyo Wema naye ni innocent until proven guilty.
 
From mhusika wa ngada to mhusika wa kitu cha Chuga, kweli movie imeanza ku flop tena too soon kabla haijawekwa sokoni.
Nape alishasema busara itumike.

Kama issue ilikuwa kukamata wavuta bangi hakukuwa na umuhimu wa kuanza kuwatangaza watu kwenye vyombo vya habari wakati ma genge ya wavuta bangi yapo wazwaz ndani ya jiji hili.
 
Mange kimambi anasema "shughuli ya madereva kwa 6x6 ni zero"
[emoji13]
 
Huyu Wema anaweza kuwa sio muuzaji tu baki mtumiaji. Anashindwa kujua madhara ya kumtuhumu Makonda kuwa anatembea na Masogange! Hiyo ni kesi ya defamation, Wema ana hela za kumlipa Makonda kwa kashfa anayomtuhumu?

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…