Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,112
Dada yangu kukuita Mkuu wa mkoa Mr Makonda na kutakiwa kujieleza hakuna sababu ya kuogopa ikiwa kama ni wewe huvuti unga wala hauzi unga. Watakao ogopa ni wale wanavuta unga na kuuza unga. Mimi pia ninampongeza Mkuu wa Mkoa Mr Makonda kwa kazi yake anayoifanya ingawa ni vita ngumu sana .Ni Vigumu hivi Vita kuvishinda lakini atavishinda akishirikiana Mheshimiwa Rais Magufuli.makonda huyu hivi hana style nyingine ya kusolve matatizo. kiki kila mahali
hakuna ajuae kesho
Anahitaji semina elekezi huyu inaonekana hajui system inavyofanya kazi, ataharibu nchi asipoangaliamakonda huyu hivi hana style nyingine ya kusolve matatizo. kiki kila mahali
hakuna ajuae kesho
Acha upuuzi wako wewe, huyo mkuu wako wa mkoa ndio kaanza kuwauzia watu kesi kwenye media,kazi ya polisi, prosecutors na mahakama ni nini sasa? subiri waje wamtengeneze kwa kuchafua majina ya watunimefurahi sana maana anajiongezea kesi juu ya kesi,anamtukana mkuu wa mkoa? hajui kuwa anamtukana pia raisi,muache apumzike jela tu.
Mwacheni Mstaafu apumzike kwa amani..Noma sana!