Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,112
Kuna simulizi ya mtu anaitwa Money Penny kule MMU. Aisee inaakisi sana hii kitu.
Kwenye hiyo simulizi kuna mkuu wa mkoa anaitwa PAtrick ni malaya ajabu na alihusika kuvuruga uchaguzi. Anamdate binti anaitwa MAringo na amempangia nyumba eneo la wadosi kunako vilima. Na binti kamzalia mtoto.
Mkuu wa mkoa akapata kashfa hiyo ya uchaguzi akahukumiwa kwenda jela maisha. Huko inafanyika utaratibu waziri mkuu anamuhamishia nje ya nchi kufanya kazi za kisnitch nae anakusanya MAringo na mwanae na kusepa zao.
Nimejufunza kitu