Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Mh....mbona hiyo audio hujapost unataka tua ze kuhemka dakika ya mwisho tuhemishwe....toa evidene sio porojo za maneno..thready ni yakp itafune tuimeze
 
Now im sorry kama opinion yang imaweza kuwa tofauti na wengi na i dont think ill be jailed fot speaking my mind but mimi personally naamini kuna kitu mr RC anatafuta na sii madawa...

Hiv nani mwengine kanotice kwamba paul makonda is trying too hard to impress the dictator (or the so called)
Na katika harakati za kutaka kuimpredd the higher ups anafanya vitu kw kuhemka tu....hiv kuna nchi gani nyengine au hata hapa hapa tz mtu gani mwengine ambaye amewahi kuorder detainment ya watu and especially A-list celebrities (mostly) just because of hearsay with no proof at all hata circumstantial tu ingetosha
But no im paul makonda i have to show power so https://jamii.app/JFUserGuide proof i do whatever i want

Ni nani aliemwambia hao watu wanahusika na madawa kwNini asimweke wazi

Na your stupid ukiniambia ni taarifa alizopata kwa mateja cause 1.mateja si wajinga kama tunavyofikiri kwamba watataja ma kingpin wao ili wAo wateseke na arosto

2.kama ni kwa pushers sidhani kwamba nao wanataka kulala njaa so hawawez kutaja willingly na kama ni baada ya torture of some sort 1.ni ukiukwaji wa hak za binadam 2.a man who is being tortured will say anything you want him to you just got to lead him on

3.ana uhakika gani kwamba hiyo intel aliyopata ni reliable

Watu kama wakina chid ndio ilikuwa wa kuwahoj ambao wamekiri wao ni watumiaji

Huwez ukakurupuka tu eti oooh mbona wewe una safiri sana nje utakuwa muuzaj njoo utaje mabosi wako huo ni uku#@

Conclusion
Mtu anayefanya vitu anavyofanya RC ni either anajaribu kuficha uhusika wake
Au he is just that much of an imbecile
Sijamaliza ila ninechoka kutype
 
Binamu mambo ya sheria ni magumu sana unadhani makonda alikurupuka? Na mateja zaidi ya 100 na wale wauzaji wanawataja hao kua ndio huwaletea unga, kumbuka makonda ana RCO, Ana RSO na kamati ya ulinzi na usalama iko chini yake .
Sikia ww wa kishua
Ushawah kukaa na mateja na mapusher ukajua mentality yao bas nikuhakikishie hiyo intel aseme alipoipata na sio kwa mateja
 
Now im sorry kama opinion yang imaweza kuwa tofauti na wengi na i dont think ill be jailed fot speaking my mind but mimi personally naamini kuna kitu mr RC anatafuta na sii madawa...

Hiv nani mwengine kanotice kwamba paul makonda is trying too hard to impress the dictator (or the so called)
Na katika harakati za kutaka kuimpredd the higher ups anafanya vitu kw kuhemka tu....hiv kuna nchi gani nyengine au hata hapa hapa tz mtu gani mwengine ambaye amewahi kuorder detainment ya watu and especially A-list celebrities (mostly) just because of hearsay with no proof at all hata circumstantial tu ingetosha
But no im paul makonda i have to show power so **** proof i do whatever i want

Ni nani aliemwambia hao watu wanahusika na madawa kwNini asimweke wazi

Na your stupid ukiniambia ni taarifa alizopata kwa mateja cause 1.mateja si wajinga kama tunavyofikiri kwamba watataja ma kingpin wao ili wAo wateseke na arosto

2.kama ni kwa pushers sidhani kwamba nao wanataka kulala njaa so hawawez kutaja willingly na kama ni baada ya torture of some sort 1.ni ukiukwaji wa hak za binadam 2.a man who is being tortured will say anything you want him to you just got to lead him on

3.ana uhakika gani kwamba hiyo intel aliyopata ni reliable

Watu kama wakina chid ndio ilikuwa wa kuwahoj ambao wamekiri wao ni watumiaji

Huwez ukakurupuka tu eti oooh mbona wewe una safiri sana nje utakuwa muuzaj njoo utaje mabosi wako huo ni uku#@

Conclusion
Mtu anayefanya vitu anavyofanya RC ni either anajaribu kuficha uhusika wake
Au he is just that much of an imbecile
Sijamaliza ila ninechoka kutype
Mbona maswali yako yote majibu yake yanapatikana kwenye hii thread. Nafikiri umechelewa kuisoma.
 
Daah Wema anasema RC anakula Masogange kampangia Makongo ndiyo maana hamkamati pamoja na kukamatwa live SA.
Jaman fanyen uchunguz kuhusu hiyo nyumba ya makongo mie nahis kuna ukwel hapo

Ila kweli kwa nini masogangr ambaye kashawah kukamatwa hakuepo kwenye hii list kabambe NAWAZa
 
Basi ushaidi tiyari umekamilika kama wema mwenyew anazbitsha kwamba masogange ajatajwa maana yake wema anausika na madawa na anawajua wenzake!! Birds of the same feathers do fly together
This is so stupid and downright retarded kwa kuwa wewe unawajua mateja mtaani kwako na wewe ni muhusika after all birds of the same feathers......
 
lee..!!!, Yani hii trend ya watuhumiwa itafikia mbali mpaka tukashangaa, yani itaanza kutoka mtu mmjo hadi mwingine hadi tupate the main player wa hii kitu hapo ndo itatulia , la sivyoo mmoja akikubali kuumia instead itakuwa okey atakip her mouth down and skip taking, lakini la sivyo hii itaenda mpaka kuleee ,na mkulu ashasema yeyote atakaye kamatwa na hiyo dawa no excuse, who is he??, whose son is this, mke, even mke wanguu, hapo hakuna atakayepona asee

√√ nipo curious kuhusu hii ishuu , though wema ashasema anayehusika mwingine na hofuu hii ishuuu inaweza pigwa calenda hadi tukashangaa imeisha vipi

√√kama si hivyoo ishi itaanzia from kambaleee to large fish ( Papa)

**I cant wait Kumung'unya ubuyu Peke yanguu kwa kweli*
 
Mtoa mada unadunda dunda kama tenesi...sema ueleweke ...kwani mmi kutembea na masogange inahusiana na nini na wewe kibaka chakarufu,shimbwazi unaeua wadpgo zetu?kanjara mwatu kisuku mkubwa unauza bangi na kuuza madawa utaozea jera...na bado
Mdogo wako ganii
Mdogo wako ni mpumbav kwan hajui madhara ya madawa kwan kuna mtu anachukua kisu na kumwambia usipovuta nakuchoma si ni free will au? Mbona wewe huvuti
 
Mdogo wako ganii
Mdogo wako ni mpumbav kwan hajui madhara ya madawa kwan kuna mtu anachukua kisu na kumwambia usipovuta nakuchoma si ni free will au? Mbona wewe huvuti
Na bado nitawaweka ndani nyote maana nahua hata magufur ameniruhusu na ameniambia hata mke wake ni mweke ndan kama akiwa ni muuza madawa....ha ha ha ba

Bongo kwel kuna mambo
 
Kingpins sasa hiv wanawaza

Hahahaha in tanzania burrp there is one man who thinks he can win a war against drugs

All kingpins:hahaha thats a good joke its very funny

Viva wafuasi halisi wa escobar
 
Jaman fanyen uchunguz kuhusu hiyo nyumba ya makongo mie nahis kuna ukwel hapo

Ila kweli kwa nini masogangr ambaye kashawah kukamatwa hakuepo kwenye hii list kabambe NAWAZa
Zamani alikuwa anatoa mpaka kwa laki siku hizi hata laki tano hataki
 
a) Kwa hiyo aachwe tu aendelee kuua watu kwa sababu hakuna kiongozi anayeonyesha kujali? Uwaziri wa Makonda utakuja kwa kazi zake, lakini hakuna uzalendo wa mtu utathibitiska kwa kuwaogopa waharifu kwa sababu wana macho ya kutisha.

Kwani kesi ya Wema ni kuuza au kutumia? Teja anauaje?
 
Umemsikiliza Siro juu ya kosa la Wema na Omar aliyekutwa na Kete 3 za unga ameachiwa kwa maombi maalum, Wema amekutwa na msokoto wa bangi.

Hawanihusu watajiju.

Ila ujue bangi uwekewa madude pia kukoleza utamu.
 
Back
Top Bottom