Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Usimhukumu maana huenda ana ushahidi wa kutosha kwa alichoongea.Mahakama pekee ndio itatoa hukumu.
Unaweza kuwa na Kesi 100 na ukashinda zote.
 
Tatizo wa bongo sheria hamzijui pia uwoga umewazidi atapewa kesi gani hapo ikiwa uyo Agnes ni kweli alikamatwa na madawa south ikiwa ni kweli amepangishiwa nyumba huoni ameibua kesi mpya kwa uyo Agnes maana kila kitu kipo wazi
 
Mange anajifanya akili kubwa lakin Hamna kitu anakurupuka tu
 
Kwan kule nyuma ya nondo anaruhusiw kutumia cm na kujirekod huu upuuz. Ngoja nikalime hili picha mim silielew
 
Kwann aingize issue za kuwa anatembea nae? Angesema tu mtu flani anauza madawa na ushahidi huu hapa
Hii mbona ni rahisi tu, iweje umkamate ambaye huna ushahidi bali hisia tu ukamwacha yule mwenye ushahidi wa wazi? Kwenye suala hili akina wema wameonewa sana.
 
Hii vita ngumu sana, Drugs Lords baada ya kuona anawatesa , wamelihonga Kanisa, sasa Durtete kaingia shakani na Kanisa katoliki
 
Mrs wake anatakiwa awe na moyo mana atayasIkia mengi sana kuhusu hubby wake da full stress Maana mengine yanaukweli.
 
Wadau kwa heshima na taadhima naombeni kujua sauti ya mtu anaeita "Aggie njoo" na jina la huyu mrembo aisee wakubwa wanafaidi sana dah!
Kama uko Tanzania jiangalie. Kuokota mambo kutoka kwa Mange Kimambi na kuyaweka hapa kama yalivyo kutakuponza. Ila kama uko USA Baby mwagika tu kwa raha zako. Ila ingependeza mtu wanakunyuka huku ukipigania jambo la maana na siyo msambwanda wa Masogange [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo wabongo wengi ni waoga sana sasa itamtokea puani kwan katukana? Mbona kasema yamoyoni .kuweni wajasili
Dah...Usijichanganye...kuna uoga na kuna uangalifu.. Pia.. . Kuna ujasiri... halafu kuna ujinga. ...[emoji13] [emoji13]
 
Siku US za mfungo USA zimezalisha msambwanda live...kila la kheri wazee wa wali nazi..
 
Kwani wanaruhusiwa kukaa na Mtu lock up siku 3 bila ya kuwapeleka mahakamani?
 
Dah...Usijichanganye...kuna uoga na kuna uangalifu.. Pia.. . Kuna ujasiri... halafu kuna ujinga. ...[emoji13] [emoji13]
In fact binadamu tuna hulka ya kuogopa kukosoa maovu ya wale waliotuzidi nguvu. Wachache wanaofanya hvo huwa wanaonekana ni wakorofi hata kama wanaloliongea lina ukweli ndani yake.
 
Back
Top Bottom