Dawa za kuongeza nguvu za kiume ni hatari tena hatari sana

Bess

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
547
Reaction score
656
Nianze kwa kisema.., Vyakula vya mbegu kama maharage, karanga, njegere, korosho na vyakula vya protein(nyama, samaki, kuku) ni malighafi za kiwanda cha kutengeneza nguvu za ajabu..... Hii ni salama na zaid ya salama

Kuwa na mda wa kupumzika, kuepuka 'stress' na visababishi vya magonjwa ya pressure, moyo na kisukari ni tiba na kinga...

Kutumia madawa haya hulazimisha moyo kusukuma damu kuliko uwezo wake., na mwendelezo wa matumiz husababisha baada ya mda kuwa na tatizo LA moyo..

Pia kuamsha MTU kila wakati bila yeye kupenda....simama-kaa, simama-kaa, simama-kaa., baadaye hu-ua kabisa nguvu ya asili inayoambiaga huyu MTU kusimama na kukaa..

Baada ya mda huyu MTU atakuwa hawez kufanya chochote bila kutegemea ki-amusho(dawa ya kuongeza nguvu)

Pia ku-watch pono(picha chafu) ni SBB nyingine inayoua nguvu ya asili ya mwanaume SBB ina- disconnect njia za asili za Neva zinazounganisha ubongo na huko kunakotakiwa kuamka...

Kijana mwenye tabia ya kuangalia usishangae baadaye haezi chochote hadi a-watch hizi picha..

Hii ndio sababu, pamoja na nyingine iliyopelekea serikali kupitia wizara ya afya kuzuia watching of phonographs..
 
Jana jioni, maeneo ya Kirumba - Mwanza, karibia na Kirumba Polisi kuna baba alitia aibu kweli. Alipaki "Haria" yake pembeni akashuka kwenye gari, akatoa dudu yake, anafanya kama CHAPUTA halafu kila mwanamke anayepita anamuita njoo, naomba unipe nitakupa elfu 50. Ana pete ya ndoa kidoleni, sasa watu tukajiuliza huyu katumia hayo madawa amezidiwa kabla ya kupata mwanamke au ameji ovodosi au nini kimempata maana wala sio kichaaa mzima wa afya.
 
Huyo baba alishindwa kufanyia ndani ya gari yake au ndio ukichaa ulimuanza.Muda mwingine na kurogwa nayo hivi vitu sio vya kufanya hadharani
 
Jana jioni, maeneo ya Kirumba - Mwanza, karibia na Kirumba Polisi kuna baba alitia aibu kweli. Alipaki "Haria" yake pembeni akashuka kwenye gari, akatoa dudu yake, anafanya kama CHAPUTA halafu kila mwanamke anayepita anamuita njoo, naomba unipe nitakupa elfu 50. Ana pete ya ndoa kidoleni, sasa watu tukajiuliza huyu katumia hayo madawa amezidiwa kabla ya kupata mwanamke au ameji ovodosi au nini kimempata maana wala sio kichaaa mzima wa afya.
Ungemfanyiapo kamsaada kidogo
 
Bess, hayo uliyoyaandika una ushahidi wake wa kisayansi? Huwezi kusema pono ina disconnect neva na ubongo bila kutoa ushahidi wa kisayansi halafu wote tukanyamaza. Toa ushahidi wa utafiti uliofanyika na kuja na matokeo hayo. Vinginevyo useme kuwa hiyo ni kwa mujibu wa ndoto ulizooteshwa jana usiku baada ya msosi mzito wa jioni ....
 
Mkuu bila picha popoma ataelewa kweli???
 
Ubakwe vipi wakati.wewe mwanaume.au wewe ni KE?
Umefungua tena ID mpya!!! hii ni ya ngapi sasa? Umeona wamekujua kwenye ile ya HR 66, The List, Yeezus, Joji Pola, CURRICULUM sasa umefungua tena hii teketeke. Kazi ipo JF. Nasubiria ujibu hii comment halafu naku ignore. Nakuchukia sana kwa kweli, hata ikitokea Mungu akakuchukua kwa mara ya kwanza nitachekelea kusikia mtu kafa. Sikupendi kabisa
 
Bess, hayo uliyoyaandika una ushahidi wake wa kisayansi? Huwezi kusema pono ina disconnect neva na ubongo bila kutoa ushahidi wa kisayansi halafu wote tukanyamaza. Toa ushahidi wa utafiti uliofanyika na kuja na matokeo hayo. Vinginevyo useme kuwa hiyo ni kwa mujibu wa ndoto ulizooteshwa jana usiku baada ya msosi mzito wa jioni ....
Mwanaume anasisimuka sana baada ya kuona maumbile ya ke, ikiwa na maana kwamba macho ni kiungo muhimu sana husababisha damu iende kwa kasi sana kwenye maumbile na kumsimamisha jamaa. Sasa macho yakizoea kuona kitu chochote mda mwingi huchosha(nerve fatigue) na baadaye huyu MTU anapokutana na mazingira halisia akiwa na mwenz wake inaeza chukua mda kadhaa kumshawishi jamaa kusimama

ukifanya huduma ya counselling ni research tosha na prove unayohitaji
 
Unatetea
 
Nianze kwa kisema.., Vyakula vya mbegu kama maharage, karanga, njegere, korosho na vyakula vya protein(nyama, samaki, kuku) ni malighafi za kiwanda cha kutengeneza nguvu za ajabu..... Hii ni salama na zaid ya salama

Kuwa na mda wa kupumzika, kuepuka 'stress' na visababishi vya magonjwa ya pressure, moyo na kisukari ni tiba na kinga...

Kutumia madawa haya hulazimisha moyo kusukuma damu kuliko uwezo wake., na mwendelezo wa matumiz husababisha baada ya mda kuwa na tatizo LA moyo..

Pia kuamsha MTU kila wakati bila yeye kupenda....simama-kaa, simama-kaa, simama-kaa., baadaye hu-ua kabisa nguvu ya asili inayoambiaga huyu MTU kusimama na kukaa..

Baada ya mda huyu MTU atakuwa hawez kufanya chochote bila kutegemea ki-amusho(dawa ya kuongeza nguvu)

Pia ku-watch pono(picha chafu) ni SBB nyingine inayoua nguvu ya asili ya mwanaume SBB ina- disconnect njia za asili za Neva zinazounganisha ubongo na huko kunakotakiwa kuamka...

Kijana mwenye tabia ya kuangalia usishangae baadaye haezi chochote hadi a-watch hizi picha..

Hii ndio sababu, pamoja na nyingine iliyopelekea serikali kupitia wizara ya afya kuzuia watching of phonographs..
upo sahihi mkuu kama huyu jamaaOffer offer offer
Ninatoa formula ya matunda ya kutibu nguvu zakiume kwa gharama ya elfu 20 utalipa elfu 5 kwanza ukishapona utamalizia elfu 15 iliyobakia njoo insta@pona_nguvu_zakiume_kwa_matunda uone watu waliopona wakitoa shuuda... Whats app 0712505049 niliwai kua na matatizo ya nguvu za kiume nikapona kwa matunda
 
Mwanaume anasisimuka sana baada ya kuona maumbile ya ke, ikiwa na maana kwamba macho ni kiungo muhimu sana husababisha damu iende kwa kasi sana kwenye maumbile na kumsimamisha jamaa. Sasa macho yakizoea kuona kitu chochote mda mwingi huchosha(nerve fatigue) na baadaye huyu MTU anapokutana na mazingira halisia akiwa na mwenz wake inaeza chukua mda kadhaa kumshawishi jamaa kusimama

ukifanya huduma ya counselling ni research tosha na prove unayohitaji
Kwahiyo hiyo counseling ni sawa na inazidi research? Au uzoefu wa counseling unaweza kuthibitishwa na research findings? Naogopa hiyo generalization yako inapotosha hata kama unaiona inavutia. Uzoefu wako wa ushauri hauwezi kuwa mbadala wa research. Ushauri wako unaweza kuwa biased au influenced na mambo mengine mengi hivyo huwezi kuyaweka hapa na tukayaamini kihivyo. Vinginevyo huo unabakia kuwa mtazamo wako kama wewe ambao unaweza kuwa sawa au kinyume chake.
 
Back
Top Bottom