Dawa za kuongeza nguvu za kiume ni hatari tena hatari sana

Kwahiyo hiyo counseling ni sawa na inazidi research? Au uzoefu wa counseling unaweza kuthibitishwa na research findings? Naogopa hiyo generalization yako inapotosha hata kama unaiona inavutia. Uzoefu wako wa ushauri hauwezi kuwa mbadala wa research. Ushauri wako unaweza kuwa biased au influenced na mambo mengine mengi hivyo huwezi kuyaweka hapa na tukayaamini kihivyo. Vinginevyo huo unabakia kuwa mtazamo wako kama wewe ambao unaweza kuwa sawa au kinyume chake.
Mkuu njoo na research yako inayopinga... usitumie maneno tu
 
upo sahihi mkuu kama huyu jamaaOffer offer offer
Ninatoa formula ya matunda ya kutibu nguvu zakiume kwa gharama ya elfu 20 utalipa elfu 5 kwanza ukishapona utamalizia elfu 15 iliyobakia njoo insta@pona_nguvu_zakiume_kwa_matunda uone watu waliopona wakitoa shuuda... Whats app 0712505049 niliwai kua na matatizo ya nguvu za kiume nikapona kwa matunda
Matapeli hawaishagi
 
Mkuu njoo na research yako inayopinga... usitumie maneno tu
Research hupinga research. Unataka nipinge mawazo yako ya kijiweni kwa hoja za research? Mie nilikutaka wewe ulete huo utafiti unaosema ukitazama pono nerve zinaathirika (kunakuwa na disconnection) kwa kukodolea macho hizo picha. Najua kuna athari lakini siyo disconnection ya nerve kama unavyoiweka hapa. Mkuu ndiyo maana sijapinga hoja yako ya madawa ya kuongeza nguvu za kiume (ipo sawa). Lakini hoja ya kuwa watu wasiangalie pono kwasababu ya kuogopa disconnection ya nerve. Huo ni uongo. Athari zilizopo siyo hizo na kama umekuwa ukiwashauri vijana hivyo umewadanganya kwa kuwapa hofu isiyokuwepo. Waambie wanaathirika kisaikolojia na wala HAWAWI VIPOFU (due to nerve disconnection).
 
Taarifa kwenda kwenye ubongo husafirishwa na Neva za faham kutokana kwenye milango ya fahamu. Kwa mfano ukiingia chooni au sehem yoyote yenye harufu Kali/mbaya baada ya mda utaona mazingira ni ya kawaida kabisa.., sio SBB harufu kimeisha Bali imetokea kitu naweza it's kiswahili mchoko wa Neva.

Vivyo hivyo mlango wa faham unaopitisha taarifa ya msisimko kwa mwanaume macho., ukiendelea au kuwa na tabia ya ku-watch porno baadaye huzaa ukawaida ambao huathiri ile hali ya asili..

Nimeamia kutumia lugha rafiki kwako ili uelewe
 
Nerve Disconnection ndo kuchoka? Shida unadhani sikuelewa. Wewe ndiye umejichanganya. Ungesema nerve fatique (kuchoka kwa nerve) na si disconnection. Na kama kutazama sana kitu kunaleta nerve disconection (According to Bess, 2018) basi wasomi wote wangekuwa vipofu kwa kusoma vitabu vingi sana kitu ambacho si kweli. Halafu bahati mbaya mie si poyoyo kama unavyodhani. pole sana!
 
Kijana Mathew hapo nimetumia lugha eleweka/rafiki kuliko sayansi, ww kama umeenda mbali kuuliza ndio nimekupa maana hasa ki sayansi.

Tuache ubishi wa watoto wa sekondar, ningekuwa nimedanganya nisingekupa maana halisia
 
Kwahiyo hiyo counseling ni sawa na inazidi research? Au uzoefu wa counseling unaweza kuthibitishwa na research findings? Naogopa hiyo generalization yako inapotosha hata kama unaiona inavutia. Uzoefu wako wa ushauri hauwezi kuwa mbadala wa research. Ushauri wako unaweza kuwa biased au influenced na mambo mengine mengi hivyo huwezi kuyaweka hapa na tukayaamini kihivyo. Vinginevyo huo unabakia kuwa mtazamo wako kama wewe ambao unaweza kuwa sawa au kinyume chake.
all in all sio lazima yaan hujalazimishwa ni uamuz wako kunitafuta au lah usilete siasa bila sababu
 
Back
Top Bottom