Taarifa kwenda kwenye ubongo husafirishwa na Neva za faham kutokana kwenye milango ya fahamu. Kwa mfano ukiingia chooni au sehem yoyote yenye harufu Kali/mbaya baada ya mda utaona mazingira ni ya kawaida kabisa.., sio SBB harufu kimeisha Bali imetokea kitu naweza it's kiswahili mchoko wa Neva.
Vivyo hivyo mlango wa faham unaopitisha taarifa ya msisimko kwa mwanaume macho., ukiendelea au kuwa na tabia ya ku-watch porno baadaye huzaa ukawaida ambao huathiri ile hali ya asili..
Nimeamia kutumia lugha rafiki kwako ili uelewe