Dawa za kurutubisha shahawa ili upate mtoto zipo?

Dawa za kurutubisha shahawa ili upate mtoto zipo?

solja njeree

Senior Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
175
Reaction score
95
hallow wana jf doctor! nimekua nikitamani kupata mtoto lakini sioni mafanikio na jaribu kuvizia zile siku lakini wapi mda mrefu kila akimalza cku zake na hesabu zile siku14 lakini wapi . je kuna dawa yoyote ya kurutubisha shahawa?? je inaitwaje??
 
Back
Top Bottom