solja njeree
Senior Member
- Aug 27, 2013
- 175
- 95
hallow wana jf doctor! nimekua nikitamani kupata mtoto lakini sioni mafanikio na jaribu kuvizia zile siku lakini wapi mda mrefu kila akimalza cku zake na hesabu zile siku14 lakini wapi . je kuna dawa yoyote ya kurutubisha shahawa?? je inaitwaje??