Tumain
JF-Expert Member
- Jun 28, 2009
- 3,154
- 71
Nilikuwa naumwa sipendelei dawa za dukani kwasababu ya uchungu ..na side effects...jamaa fulani akaniambia hapo sinza kuna hospitali unapewa maji tuu kila ugonjwa na unapona?? basically nimeenda hapo nimepewa maji hayo..lakini deep inside naona kama nadanganywa vile ..hivi vipi jamani kuna mtu alishawahi kutumia hako ka-hosptali na maji akapone ..just curiuos labda itaongeza confidence nizimalize hizi dawa..maji??