Dawa za maji hosp. Sinza???

Dawa za maji hosp. Sinza???

Tumain

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2009
Posts
3,154
Reaction score
71
Nilikuwa naumwa sipendelei dawa za dukani kwasababu ya uchungu ..na side effects...jamaa fulani akaniambia hapo sinza kuna hospitali unapewa maji tuu kila ugonjwa na unapona?? basically nimeenda hapo nimepewa maji hayo..lakini deep inside naona kama nadanganywa vile ..hivi vipi jamani kuna mtu alishawahi kutumia hako ka-hosptali na maji akapone ..just curiuos labda itaongeza confidence nizimalize hizi dawa..maji??
 
dawa ya maji au maji??
jifanyie experiment ili nasi tupate fundisho; kunywa kisha baada ya muda uliopewa tupe matokeo, hopefully huna lifethreatening illness.
 
Sinza kwa remi hapo kituoni kuna hospitali kanatoa maji tu kwenye chupa ndogo ndogo..aisee? sijui naendelea ku-test..nilikuwa natafuta kama kuna mtu ameshatumia anihabarishe
 
Nashauri uende kwenye hospitali zinazoeleweka utibiwe upone taifa linakuhitaji. Ila kama wapenda kuendelea kutibiwa na watu wanaoganga njaa, basi licha ya hapo Sinza, telemka Jangwani kuna mganga toka Sumbawanga anatibu kila aina ya ugonjwa kwa kushikishwa kibuyu chenye shanga!! Au nenda pale Magomeni Kagera kuna mganga mwingine naye anatibu kivyake. Kwa hiyo Tumaini, ebu kama unajijali nenda kituo cha tiba kinachoeleweka kulingana na uwezo wa mfuko wako (Sinza Palestina, Tandale, Magomeni, Mwananyamala Hosp, Muhimbili au Agha Khan).
 
Stop thinking like a 2 year old. Liquid yoyote isiyo na rangi na kuwa na waterly taste siyo lazima yawe maji. Hiyo clinic ya sinza kwa Remi inatumia mfumo wa kitibabu ujulikanao kama HOMOEPATHY. Ni mfumo unaotumika duniani kote na madakitari wake wamesomea. Umekuwepo hapa Tanzania kwa muda mrefu na dawa zake zote zina rangi na taste ya maji lakini zina tofauti na zinatengenezwa kitaalamu baada ya mgonjwa kupimwa. Ushahidi wa effectiveness yake ni umati wa watu unaowakuta pale sinza kila siku. Mimi nimezitumia na kupona magonjwa mengi. Of course wao siyo mungu. Kama ilivyo kwa matibabu ya aina zote kuna wagonjwa ambao hawaponi. Zingatia masharti uliyopewa. Search for homoepathy to learn more about it.
 
Back
Top Bottom