Dawa za Mzizi Mkavu zinatibu kweli?

Dawa za Mzizi Mkavu zinatibu kweli?

Jasho la Damu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
956
Reaction score
120
Wakuu
Naomba kuuliza dawa za mzizi mkavu zile za kumrefusha bwana mkubwa zinafanya kazi kweli au ndo wajanja wa town. kuna yeyote aliwahi kutumia akapata matokeo chanya? Kama kweli zinatibu kwanini asitumie verified user kwa jina halisi na picha yake ili aongeze uaminifu kwa wateja wake. Ni mashaka yangu tu kama kuna mtu ana ufafanuzi anaweza akanisaidia hapa jukwaan.
 
Usitumie dawa yoyote ya MziziMkavu kabla ya kuwasiliana naye ili aone kama ni salama kutumia dawa hiyo au la kutokana na ugonjwa ulionao. Baadhi wamewahi kuzitumia na kuja hapa kushukuru kwamba zimewasaidia.
 
Ahsante kwa kunijuza ila nimetembelea blog yake haina maelezo ya kutosha zaidi ya namba za simu na e-mail
 
ata me nasuport kwa maradhi mengine dawa zake ni nzuri ila kwa kukuza iyo kitu labda akafanyiwe operatîon
Kinachonipa mashaka hana verified username hata kwenye contact zake zote nakosa imani naye japo naamini hizo dawa zipo ambazo zitakuwa zina stimulate hormone maana ili organ ikue inahitaji husika kufanya kazi.Hata ukicheki pornography nyingi wale wenye uume mkubwa huwa wanaprove kama wanaweza kuongeza uume wao zaidi ya pale.
 
Wakuu
Naomba kuuliza dawa za mzizi mkavu zile za kumrefusha bwana mkubwa zinafanya kazi kweli au ndo wajanja wa town. kuna yeyote aliwahi kutumia akapata matokeo chanya? Kama kweli zinatibu kwanini asitumie verified user kwa jina halisi na picha yake ili aongeze uaminifu kwa wateja wake. Ni mashaka yangu tu kama kuna mtu ana ufafanuzi anaweza akanisaidia hapa jukwaan.
Mkuu@MIMI MMASAI Tembelea Blog yangu uweze kupata faida nyingi kuhusu dawa zangu za Tiba mbadala kunitembelea Blog yangu bonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Mimi NASUMBULIWA na mgongo hospital nshaenda sana wanasema pingili zimepishana, wananipa dawa na kunielekeza jinsi ya ulalaji lakini bado mwenye uelewa na hili swala anisaidie
 
Mmh!nisijekuwa na tatizo kama lako.Mgongo unaniuma.
 
Kinachonipa mashaka hana verified username hata kwenye contact zake zote nakosa imani naye japo naamini hizo dawa zipo ambazo zitakuwa zina stimulate hormone maana ili organ ikue inahitaji husika kufanya kazi.Hata ukicheki pornography nyingi wale wenye uume mkubwa huwa wanaprove kama wanaweza kuongeza uume wao zaidi ya pale.
Mkuu usiogope Verified yangu nitafute kwenye email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com Au What's App +905013460377
 
Kinachonipa mashaka hana verified username hata kwenye contact zake zote nakosa imani naye japo naamini hizo dawa zipo ambazo zitakuwa zina stimulate hormone maana ili organ ikue inahitaji husika kufanya kazi.Hata ukicheki pornography nyingi wale wenye uume mkubwa huwa wanaprove kama wanaweza kuongeza uume wao zaidi ya pale.

Mim alinitibu huyu kwa maradhi haya ya kawaida na ni mtu makin.sana ukimtumia email anakujibu as long as ana muda wa kukujibu hivo hebu jaribu kuwasiliana nae MziziMkavu i trust uuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu@MIMI MMASAI Tembelea Blog yangu uweze kupata faida nyingi kuhusu dawa zangu za Tiba mbadala kunitembelea Blog yangu bonyeza hapa.Mzizi Mkavu
Nashukuru mkuu nimeiona ila tatizo uko mbali sana na dawa zako unauza bei ya juu sana hebu jaribu kunijengea ushawishi wa kukuamini ili nikutumie na wewe kunitumia dawa ambayo inafanya kazi kweli.:angry:
 
Back
Top Bottom