Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
Ahsante kwa kunijuza ila nimetembelea blog yake haina maelezo ya kutosha zaidi ya namba za simu na e-mailUsitumie dawa yoyote ya MziziMkavu kabla ya kuwasiliana naye ili aone kama ni salama kutumia dawa hiyo au la kutokana na ugonjwa ulionao. Baadhi wamewahi kuzitumia na kuja hapa kushukuru kwamba zimewasaidia.
Ahsante kwa kunijuza ila nimetembelea blog yake haina maelezo ya kutosha zaidi ya namba za simu na e-mail
Hakuna aliyewahi kutumia ndugu labda yeye mwenyewe tu.
kuhusu issue ya dawa ya kukuza uume iyo sijui na its for ur own risk!! ila kwa dawa za maradhi mengine hapa jamvini amekua akisaidia watu wengi tu na watu wanakuja kutoa feedback kua wamepona
Kinachonipa mashaka hana verified username hata kwenye contact zake zote nakosa imani naye japo naamini hizo dawa zipo ambazo zitakuwa zina stimulate hormone maana ili organ ikue inahitaji husika kufanya kazi.Hata ukicheki pornography nyingi wale wenye uume mkubwa huwa wanaprove kama wanaweza kuongeza uume wao zaidi ya pale.ata me nasuport kwa maradhi mengine dawa zake ni nzuri ila kwa kukuza iyo kitu labda akafanyiwe operatîon
Mkuu@MIMI MMASAI Tembelea Blog yangu uweze kupata faida nyingi kuhusu dawa zangu za Tiba mbadala kunitembelea Blog yangu bonyeza hapa.Mzizi MkavuWakuu
Naomba kuuliza dawa za mzizi mkavu zile za kumrefusha bwana mkubwa zinafanya kazi kweli au ndo wajanja wa town. kuna yeyote aliwahi kutumia akapata matokeo chanya? Kama kweli zinatibu kwanini asitumie verified user kwa jina halisi na picha yake ili aongeze uaminifu kwa wateja wake. Ni mashaka yangu tu kama kuna mtu ana ufafanuzi anaweza akanisaidia hapa jukwaan.
safi sana mkuu umeamua kututengenezea blog kabisa!Mkuu@MIMI MMASAI Tembelea Blog yangu uweze kupata faida nyingi kuhusu dawa zangu za Tiba mbadala kunitembelea Blog yangu bonyeza hapa.Mzizi Mkavu
Mimi NASUMBULIWA na mgongo hospital nshaenda sana wanasema pingili zimepishana, wananipa dawa na kunielekeza jinsi ya ulalaji lakini bado mwenye uelewa na hili swala anisaidie
Mmh!nisijekuwa na tatizo kama lako.Mgongo unaniuma.
Mkuu usiogope Verified yangu nitafute kwenye email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com Au What's App +905013460377Kinachonipa mashaka hana verified username hata kwenye contact zake zote nakosa imani naye japo naamini hizo dawa zipo ambazo zitakuwa zina stimulate hormone maana ili organ ikue inahitaji husika kufanya kazi.Hata ukicheki pornography nyingi wale wenye uume mkubwa huwa wanaprove kama wanaweza kuongeza uume wao zaidi ya pale.
Kinachonipa mashaka hana verified username hata kwenye contact zake zote nakosa imani naye japo naamini hizo dawa zipo ambazo zitakuwa zina stimulate hormone maana ili organ ikue inahitaji husika kufanya kazi.Hata ukicheki pornography nyingi wale wenye uume mkubwa huwa wanaprove kama wanaweza kuongeza uume wao zaidi ya pale.
Nashukuru mkuu nimeiona ila tatizo uko mbali sana na dawa zako unauza bei ya juu sana hebu jaribu kunijengea ushawishi wa kukuamini ili nikutumie na wewe kunitumia dawa ambayo inafanya kazi kweli.:angry:Mkuu@MIMI MMASAI Tembelea Blog yangu uweze kupata faida nyingi kuhusu dawa zangu za Tiba mbadala kunitembelea Blog yangu bonyeza hapa.Mzizi Mkavu