Dawa zisizo rasmi za kuzuia kupata mimba!

mm
mm kuna mchepuko wangu na ugegedaga huwa bada ya kushusha wazungu hukimbilia kunywa maji, ila haisaidi kituu kwani niliwahi mpa mimba
 
Kama umekutana na partner wako siku ya hatari,unakunywa mchanganyiko wa maji na majivu baada ya tendo.
Mchanganyiko huo uwe na ujazo wa kikombe cha chai.
Aisee majivu na digestion wapi na wapi,hapo si utaumwa tu tumbo mrembo!?
 
Kama umekutana na partner wako siku ya hatari,unakunywa mchanganyiko wa maji na majivu baada ya tendo.
Mchanganyiko huo uwe na ujazo wa kikombe cha chai.
Anakunywa mwanamke au mie men??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…