A
Anonymous
Guest
Nasalimu kwa jina la Jamhuli ya muungano wa Tanzania.
Tungependa kutoa dukuduku letu, na malalamiko yetu ambayo yanatokana Manyanyaso na Mateso ambayo yanafanywa na taasisi ya DAWASA (Shirika la Serikali inayo huduma ya Majisafi Dar es Salaam na Pwani).
1. Dawasa ina kawaida ya Kutumia Vibarua katika kazi za muda mfupi, haswa katika miradi mbalimbali ya Uchimbaji wa kulaza Mabomba ya maji. Vibarua hawa wanafanya kazi usiku na Mchana, kwa moyo na kwa ufanisi. Lakini Dawasa inakawaida ya kuwatumikisha kama watumwa, ambapo unakuta wanacheleweshewa kulipwa haki ya malipo yao kwa wakati. Tena unakuta inaweza kupita hata zaidi ya Miezi minne (4 months) hawajalipwa malipo yao.
Hii inaathiri saana morari, na hamu ya Vibarua hawa katika utendaji kazi wao, uchumi wao na kupelekea kugeuka kua Omba omba kwa jamii.
Malalamiko haya, hayapo tuu katika upande wa Maji safi, pia yapo katika Kitengo cha ofisi ya Majitaka ambapo pia hucheleweshewa malipo yao kwa mda mrefu.!
Je, hii sawa?? Je hii ni Haki?? Je ndio utatatibu ulivyo serikalini?!
Lakini DAWASA, Wanatumia kigezo cha kusema viundwe vikundi wakati vibarua hao kwa asilimia kubwa wanategemea kupata mikataba ya ajira katika taasisi hiyo
Je, kuna ukweli hapo? Au ni janja janja tuu ambayo DAWASA inaendelea kuwahadaa vijana hawa wanaotegemea Mikataba?
(Maana mfano tumeona Taasisi mbali mbali kama TRA, Tanapa, Vyuo, TAKUKURU, TAMISEMI etc.. hawa tayari wameshapewaa vibali vya ajira na wameshajiri watu tayari.)
Na kama vibali vipo ofisi ya Rais, Tunaamini Ofisi ya Rais ni sikivuu na inajali raia wake. Tafadhali TUNAOMBA Ofisi ya Rais iruhusu vibali hivyo vya Ajira kwa Dawasa.
------
Tafadhalini DAWASA tunaomba Mbadilike, haya maswala mabaya ya kucheza na Maslahi na maisha ya yatapelekea kuZOROTA kwa ufanisi wa Kazi katika Utendaji kazi ndani ya Dawasa.
Angalizo;
Pia, tunaomba ofisi ya Finance ndani ya Dawasa ibadilike na kuwa Bora zaidi. Kwani system yao ya malipo ni mbaya
- USHAHIDI UPO, Vibarua wa Dawasa wanaweza kuthibitisha hilo, ni Mateso sana wanayofanyiwa.
CEO wa sasa hivi wa DAWASA yupo vizuri sana, tunaamini kuwa kadri muda unavyozidi kwenda, atayashughulikia Malalamiko haya na kuifanya Taasisi ya Dawasa kuwa imara sana.
Nakala Kwa;
●Bodi ya Dawasa
1. Wizara ya Maji.
2. Ofisi ya Rais Utumishi.
3. Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Ulemavu.
4. Ofisi ya Hazina Taifa.
5. Ofisi ya Rais - Katibu Mkuu Kiongozi.
Tunaamini kua Ofisi tajwa hapo juu ni Sikivu na zitalifanyia kazi Malalamiko hayo ya Watanzania kwa Weledi na Utaratibu mzuri.