Nyie si ndio mnajiita gaza sio? Nyie si ndio mlianzisha lile vuguvugu la 29 Oktoba, 2025?Kimara karibia yote maji imekua anasa kwetu
Sisi ni watanzaniaNyie si ndio mnajiita gaza sio? Nyie si ndio mlianzisha lile vuguvugu la 29 Oktoba, 2025?
Jamaa wanawakazia ili Mjute.
wanawasha kukiwa na MBIO ZA MWENGENimekua nikileta kero ya DAWASCO hapa mitaa ya Kimara Suka kutokupata Maji sawa wiki hii sijapost kabisa na hawajafungua. Sasa hawa jamaa watakua wanafanya haya mpaka LINI ? Kimara imewakosea ?
UPDATE: SIKU NIMEPOST TU HAPA HAIKUPITA MASAA 2 MAJI YAKAANZA KUTOKANimekua nikileta kero ya DAWASCO hapa mitaa ya Kimara Suka kutokupata Maji sawa wiki hii sijapost kabisa na hawajafungua. Sasa hawa jamaa watakua wanafanya haya mpaka LINI ? Kimara imewakosea ?