DAWASA kuruhusu huduma ya maji leo kwa wakazi wa Kimara, Ubungo, Mwenge, Masaki na Muhimbili

DAWASA kuruhusu huduma ya maji leo kwa wakazi wa Kimara, Ubungo, Mwenge, Masaki na Muhimbili

Mpepetaji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
346
Reaction score
213
TAARIFA MUHIMU
KURUHUSU HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA KIMARA, UBUNGO, MWENGE, MASAKI NA MUHIMBILI
21.12.2025
​
Ndugu wateja mnaohudumiwa kupitia TANKI LA MAJI KIMARA tunapenda kuwajulisha kuwa huduma ya maji imefunguliwa na maeneo yafuatayo yatapata huduma;-

Kimara Mwisho, Korogwe, Bucha, Kona, Baruti, Msewe, Ubungo, Njia panda Chuo Kikuu, Magufuli Hostel, Mlimani City, Mwenge, Kijitonyama, Makumbusho, Masaki, Osterbay, Magogoni, Muhimbili Hospital na Fire.

Kumbuka kuwa na hifadhi ya kutosha ya vyombo vya Maji kipindi hiki cha upungufu

Kwa changamoto ya huduma tupigie 181 (Bure)
604355852_18422506390117672_4467539832400560020_n.jpg
 
Maisha ya dar aise, utadhani mpo kuzimu 🫩🫩🫩🫩.
 
Hii hali inafanya watu wakose amani, maji ni kitu muhimu sana
 
Back
Top Bottom