TAARIFA MUHIMU
KURUHUSU HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA KIMARA, UBUNGO, MWENGE, MASAKI NA MUHIMBILI
21.12.2025
Ndugu wateja mnaohudumiwa kupitia TANKI LA MAJI KIMARA tunapenda kuwajulisha kuwa huduma ya maji imefunguliwa na maeneo yafuatayo yatapata huduma;-
Kimara Mwisho, Korogwe, Bucha, Kona, Baruti, Msewe, Ubungo, Njia panda Chuo Kikuu, Magufuli Hostel, Mlimani City, Mwenge, Kijitonyama, Makumbusho, Masaki, Osterbay, Magogoni, Muhimbili Hospital na Fire.
Kumbuka kuwa na hifadhi ya kutosha ya vyombo vya Maji kipindi hiki cha upungufu
Kwa changamoto ya huduma tupigie 181 (Bure)