Wakati mwingine mvua zinanyesha usiku. Kwanini usitoke na kukinga maji. Dogo acha ubishoo wa kiduanzi🤔Oy huu ni mwaka 2024 sio kwamba wote ni majobless mpaka tunapata muda wa kukinga maji ya mvua
Na wewe acha kulalamika kukosa maji. Kwanza hakuna tofauti ya maji ya Dawasco na maji ya Mvua. Yote ukikinga ili kuyanywa lazima uchemshe au uweke water guard kwanza 🤔We endelea kuangaika na maji ya mvua
Hili limeshakua tatizo kubwa..so sad!!Ukiwaangalia baadhi ya mawaziri wa sasa utajua ni jinsi gani uchawa umeharibu na unaendelea kuharibu nchi yetu.
Kama tutaendelea kuwa na viongozi wakuu wanaofurahia uchawa, hatma ya taifa letu ni mbaya sana.
Inasikitisha sana!Wizara yenye waziri anaejua misemo. Akipewa maiki utasikia skisema wali wa kushibaa.....halafu mama
Msaidie mkuu apate majiTumekusamehe, kuwa na subira ukiwa na changamoto nyingine tupigie. Asante
Unasemaa!?!Naibu waziri wa afya kasema kuoga haina maana kiviile
Ukiwaangalia baadhi ya mawaziri wa sasa utajua ni jinsi gani uchawa umeharibu na unaendelea kuharibu nchi yetu.
Kama tutaendelea kuwa na viongozi wakuu wanaofurahia uchawa, hatma ya taifa letu ni mbaya sana.
Saidieni raia wakuu, si ndiyo wapiga kura hao au wasubiri mpaka 2025?Tumekusamehe, kuwa na subira ukiwa na changamoto nyingine tupigie. Asante
Poleni waTanzaniaHuku saranga maji yanatoka mara moja kila baada ya miezi 3
Msaidieni jamaaTumekusamehe, kuwa na subira ukiwa na changamoto nyingine tupigie. Asante
Basically kinachoishinda serikali ni kuweka bomba kutoka mtoni hadi majumbani. Simple as that. What a joke! Kuna mzungu alipita kijiji kimoja hapa Tz. Akaona akina mama wanavuka barabara(ya vumbi) kwenda kuchota maji upande wa pili wa kijiji. yule mzungu akanunua mpira(hose) akawaunganisha wakachimba chini wakaupeleka mpira wa maji upande wa nyumba zao hivyo hakuna kuvuka barabara kuhatarisha maisha. Sasa unaweza kuona akili za Watanzania kuanzia msomi alieweka hilo bomba na wananchi wanaochota maji.Hii ni wiki ya tatu sasa hakuna kitu kinaitwa maji, akiba yote tuliyoiweka inakaribia kuisha. Hatukupewa taarifa yoyote kuhusiana na maji kukatika na kuna minyumbu kazi yao ni kusifiaa tu na kulamba miguu, tuko zaidi ya miaka 60 ya uhuru lakini bado tunasumbuliwa na vitu kama hivi na wakati tuna vyanzo vingi vya maji. Umbwaaaaaaaa hizi