DAWASA kwanini mvua ni nyingi lakini tunakosa maji?

DAWASA kwanini mvua ni nyingi lakini tunakosa maji?

Oy huu ni mwaka 2024 sio kwamba wote ni majobless mpaka tunapata muda wa kukinga maji ya mvua
Wakati mwingine mvua zinanyesha usiku. Kwanini usitoke na kukinga maji. Dogo acha ubishoo wa kiduanzi🤔
 
Wakati mwingine mvua zinanyesha usiku. Kwanini usitoke na kukinga maji. Dogo acha ubishoo wa kiduanzi🤔
We endelea kuangaika na maji ya mvua
 
We endelea kuangaika na maji ya mvua
Na wewe acha kulalamika kukosa maji. Kwanza hakuna tofauti ya maji ya Dawasco na maji ya Mvua. Yote ukikinga ili kuyanywa lazima uchemshe au uweke water guard kwanza 🤔
 
Kama unaishi nyumba ya kupanga hamia sehemu yanakopatikama maji.
Kama unaishi kwako, chumba kisima 5*3 by 4 mtrs deep. Kijenge vizuri na kifunike. Vuna maji ya mvua. Nunua simtank litre 5,000 lijengee halafu konekt mabomba toka kwenye tank Hadi ndani.
Nunua pump ya kutoa maji kisimini na kuyaweka kwenye tenk.
Nimshukuru baadaye.
Kuwasubiri DAWASCO ndugu yangu utasubiri Sana. Tangu aondolewe yule msukuma pale DAWASA imedorora wanachofanya Sasa Ni kubambikia watu bili.
No ubunifu as usual.
 
Hii ni wiki ya tatu sasa hakuna kitu kinaitwa maji, akiba yote tuliyoiweka inakaribia kuisha. Hatukupewa taarifa yoyote kuhusiana na maji kukatika na kuna minyumbu kazi yao ni kusifiaa tu na kulamba miguu, tuko zaidi ya miaka 60 ya uhuru lakini bado tunasumbuliwa na vitu kama hivi na wakati tuna vyanzo vingi vya maji. Umbwaaaaaaaa hizi
Basically kinachoishinda serikali ni kuweka bomba kutoka mtoni hadi majumbani. Simple as that. What a joke! Kuna mzungu alipita kijiji kimoja hapa Tz. Akaona akina mama wanavuka barabara(ya vumbi) kwenda kuchota maji upande wa pili wa kijiji. yule mzungu akanunua mpira(hose) akawaunganisha wakachimba chini wakaupeleka mpira wa maji upande wa nyumba zao hivyo hakuna kuvuka barabara kuhatarisha maisha. Sasa unaweza kuona akili za Watanzania kuanzia msomi alieweka hilo bomba na wananchi wanaochota maji.

Kigamboni hakuna maji ya serikali lakini kila nyumba ina maji. wananchi wamechimba visima na kuweka network ya maji wanasambaziana. Ila unaweza kukuta mtaa mbezi beach una madimbwi lakini wanakaa watu wenye magari ya 500m yanapita njia hio hio chafu wakati wangeweza kuweka paving barabara yote kwa gharama ya kawaida kabisa wakichangishana.
 
Back
Top Bottom