DAWASA: Maji yatapatikana umeme ukirejea

DAWASA: Maji yatapatikana umeme ukirejea

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
dawasa.jpeg

DAWASA imewatangazia umma Mikoa ya Dar es salaam na Pwani kuwa kumekuwa na ukosefu wa huduma ya maji kutokana na hitilafu katika mfumo wa gridi ya Taifa.

Maeneo yanayoathirika ni Wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa Maji Ruvu Juu, Mtambo wa Maji Ruvu Chini, Mtambo wa Maji Wami, Mtambo wa maji Mtoni na Visima vya Maji Kigamboni.

“Mamlaka inategemea kuendelea na uzalishaji maji pindi huduma ya umeme itakaporejea, tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza” - DAWASA

Millard Ayo
 
Back
Top Bottom