Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema changamoto ya bomba kupasuka iliyokuwa katika eneo la Ukonga Banana mkabala na Aviation limeshughulikiwa baada ya kusababisha changamoto ya maji kwa wakati wa maeneo hayo.
Your browser is not able to display this video.
Juni 13, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika "Bomba kubwa la DAWASA limepasuka maeneo ya Banana Ukonga mkabala na Aviation House toka mwezi wa nne mpaka sasa tumetoka taarifa DAWASA Kinyerezi na wamefika hakuna utatuzi wowote. Maji yanayomwagika ni Mengi na yanasambaa kwenye makazi ya watu."
DAWASA NI MATAPELI TU.MIAKA 64 YA UHURU KUNA BAADHI YA WATU HAWAJAWAHI KUONA MAJI KATIKATI JA JIJI LA DAR.LA.A UNABISHA WAULIZE WAKAZI WA WILAYA YA UBUNGO KATA YA MBEZI HASA MSAKUZI MSUMI MPIJI N.K.