DAWASA: Tumeshughulikia changamoto ya bomba lililokuwa limepasuka Ukonga Mombasa

DAWASA: Tumeshughulikia changamoto ya bomba lililokuwa limepasuka Ukonga Mombasa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema changamoto ya bomba kupasuka iliyokuwa katika eneo la Ukonga Banana mkabala na Aviation limeshughulikiwa baada ya kusababisha changamoto ya maji kwa wakati wa maeneo hayo.

​
Juni 13, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika "Bomba kubwa la DAWASA limepasuka maeneo ya Banana Ukonga mkabala na Aviation House toka mwezi wa nne mpaka sasa tumetoka taarifa DAWASA Kinyerezi na wamefika hakuna utatuzi wowote. Maji yanayomwagika ni Mengi na yanasambaa kwenye makazi ya watu."

Hoja ya Mdau ~ Bomba kubwa la DAWASA limepasuka maneno Banana Ukonga mkabala na Aviation house toka mwezi wa nne
WhatsApp Image 2026-06-13 at 19.36.19 (1).jpeg
WhatsApp Image 2026-06-13 at 19.36.19.jpeg
 
DAWASA NI MATAPELI TU.MIAKA 64 YA UHURU KUNA BAADHI YA WATU HAWAJAWAHI KUONA MAJI KATIKATI JA JIJI LA DAR.LA.A UNABISHA WAULIZE WAKAZI WA WILAYA YA UBUNGO KATA YA MBEZI HASA MSAKUZI MSUMI MPIJI N.K.
 
Back
Top Bottom