DAWASA wanatoa wapi maji wanayowauzia wenye magari ili waje kutuuzia mtaani?

Wabongo bana kwa kupenda na kuendekeza anasa za maji.

Kammon roll up your sleeves maamaee.

Nyau de adriz
 
NASIKITIKA SANA UKOSEFU NA UJUAJI WA WACHANGIAJI KATIKA HII THREAD.

Maji yale mnayoyaaona ya dawasa tunaita. Huwa wanaweka kwenye reservoirs, yaani matank.. mfano kwa barabara ya morogoro road kuna kibamba hospitali. Na temboni pale karibu na Victoria hall miaka yote.
Yale ni mavisima yana receive maji au kujazwa maji for emergencies na zamani kidogo yalikuwepo kwaajili ya kuuzia maji wale watu ambao hawakufkiwa na maji. So hujazwa kipindi maji yanatoka for emergency. Lakini wapo watu na viwanda havina supply ya maji haswa sehemu za ujenzi huchukua maji humo.
Na maji yanapokatika basi visima hivi huwa havikosi maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…