Hewa kwenye bomba nayo inafanya mita ikimbie kuliko kawaidaHamna cha leakage wala nini, nyumbani kwetu tulitafuta hiyo leakage hadi basi
Halafu leakage hata kama ingekuwa kubwa kiasi hicho,
Mfano kuna kipindi tumepima maji kabisa tuliyotmia kwa mwezi kwenye simtank
Tulitumia simtank 4 za ujazo wa lita 2000 ambazo ni lita 8000 sawa na unit 8, ila matumizi bili ikaja unit 37, na mita zinasoma tumetumia unit hizo kweli
Sasa unit 8 hadi 37, leakage kubwa kiasi hicho ingeonekana tu