DAWASCO wizi wenu umekithiri sasa

DAWASCO wizi wenu umekithiri sasa

Nimepiga huduma kwa wateja hatimae nimewapata, jibu wanalonipa ni kuwa wanaona kweli kuwa matumizi yangu ni constant (hayavuki units 8) ila itabidi nilipie tu hizo units 23 maana zishaingia kwenye record yao ila wata lodge complaint ya kubadilishiwa mita bila taarifa.

Kwa maana nyingine nikubali kulipia bili ambayo sijaitumia kwa vile tu ishaingia kwenye record yao.
hapana, mfumo unaweza kurekebiswa, nenda kwenye ofisi zao
 
Hakuna shirika ambalo utakuta wafanyakazi wote ni waaminifu,hillo moja,pili usipanick kwanza bal jaribu kuwasiliana na msoma mita hapo kwako either kutakuwa na leakage au kutakua na tatizo katika hiyo mita mpya iliyowekwa.Au kuna muda ulijisahau then ukawa labda unapandisha maji kwenye tanki kumbe pressure ya maji ni ndogo so unakuta mita inaendelea kusoma taratibu huku maji hayapandi kulifikia tenki.Mkishagundua tatizo lilikua wap then iyo bill itafanyiwa marekebisho.[emoji120]
 
Mimi naona ukiongea kiswahili hata uwe padri au shehle ,ni lugha ya kuibiana kuibiana.kwanini.
 
je meter yako inasoma unit ngapi ? kama inasoma unit sawa na msg waliokutumia dawassa wapo sawa, kama msg wamekutumia tofauti na inavyosoma dawassa wamekosea,
 
Back
Top Bottom