Mkuu unit moja ni sawa na ndoo ngap za maji au ni sawa na lita ngapUnit 23 ni wastani wa Ndoo 1150
Sawa na Ndoo 40 kila siku
Unit ni Ndoo 50 za lita 20Mkuu unit moja ni sawa na ndoo ngap za maji au ni sawa na lita ngap
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
hapana, mfumo unaweza kurekebiswa, nenda kwenye ofisi zaoNimepiga huduma kwa wateja hatimae nimewapata, jibu wanalonipa ni kuwa wanaona kweli kuwa matumizi yangu ni constant (hayavuki units 8) ila itabidi nilipie tu hizo units 23 maana zishaingia kwenye record yao ila wata lodge complaint ya kubadilishiwa mita bila taarifa.
Kwa maana nyingine nikubali kulipia bili ambayo sijaitumia kwa vile tu ishaingia kwenye record yao.