Day 3: Hatimaye Polisi Mafinga watii Amri ya Wananchi, Waachilia wote waliokamatwa kwenye maandamano

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Polisi wa Mafinga wameamliwa kutii amri ya raia kutoa watu wote walioshikiliwa kwasababu ya Maandamano watolewe na wamewatoa wote.

MADAI YA WAANDAMANAJI.

1. Uchaguzi ufutwe,

2. Tunataka Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi

3. Waliotekwa waachiliwe huru,

4. Kesi za mchongo zifutwe
Your browser is not able to display this video.
 
Geita zinapigwa risasi sana za moto.
Police ni wanywaranda 100%

Yaani kweli IWTZ watakuwa wamekubali kuwaachia Wageni kuja kuterrorize Watanzania. Mwanzo tulisikia Waganda sasa tena kuna Wanyarwanda. Sasa kama wataamua kuanza kupigana na Jeshi letu si tayari itakuwa vita .... au huyo aliyewaleta hakufikiria kuwa hawa watu wanaweza kutuanzishia vita ya wenyewe kwa wenyewe kwa kujifanya kuna kikosi kimesaliti ....!!?
 
Hatua za jeshi kujibu mapigo ni hatua yenye mchakato wake ,hilo linafahamika ,kunataratibu zake tusiwaze
 
Hawa sio waganda sisi huku watsi(wanyarwanda) tunaishi nao tunawajua mno hata wajifunike namna gani!!
 
Jwtz hawana taarifa hawa watu wako wapi, so mnapowaona mnatoa taarifa

Hao ni maigidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…