Makumbele ile video uliyotoa ni wapi paleView attachment 3496536
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Tanzania, limepata taarifa za watu ambao siyo raia wa Tanzania kuwa wameingia nchini kwa njia zisizo rasmi kwa nia ovu ya kufanya uhalifu ikiwepo vurugu. Watu hao wanajifanya kuwa wanafanya shughuli mbalimbali ikiwepo za bodaboda.
Taarifa zinasema watu hao wapo katika Mikoa ya Arusha, Dar es salaam, Mbeya, Mwanza, Songwe na Mikoa mingineyo.
Wakati Jeshi la Polisi linaendelea kuwafuatilia ili kuwachukulia hatua kali kwa mujibu wa Sheria, mwananchi yeyote ambaye amempangisha au anaishi na raia yeyote wa kigeni asiyefahamika na anafanya shughuli gani na mienendo yake ni ya kutia mashaka atoe taarifa haraka sana kwa Viongozi wa Serikali za Mitaa, Wakuu wa Vituo vya Polisi, Wakuu wa Polisi Wilaya, Makamanda wa Polisi Mikoa au apige simu kupitia namba 0699998899.
Asipotoa taarifa na watu hao wakakutwa nyumbani kwake au eneo lake la biashara hatua kali zitachukuliwa dhidi yake.
Jeshi la Polisi linaendelea kuwahakikishia wananchi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama vinaendelea kuhakikisha Taifa letu linaendelea kuwa salama na lenye amani.
Imetolewa na:
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania
POLISI NI MKUSANYIKO WA WAPUMBAVUView attachment 3496536

Wapumbavu hawa wanataka kuaminisha watu kuna wageni wakati Samia kaleta mamluki wake kuua Watanzania, tunazo video za kutosha acha internet iwe restored hatosahau mpaka anaenda kaburini kwa mauji aliyowafanyia WatanzaniaView attachment 3496536
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Tanzania, limepata taarifa za watu ambao siyo raia wa Tanzania kuwa wameingia nchini kwa njia zisizo rasmi kwa nia ovu ya kufanya uhalifu ikiwepo vurugu. Watu hao wanajifanya kuwa wanafanya shughuli mbalimbali ikiwepo za bodaboda.
Taarifa zinasema watu hao wapo katika Mikoa ya Arusha, Dar es salaam, Mbeya, Mwanza, Songwe na Mikoa mingineyo.
Wakati Jeshi la Polisi linaendelea kuwafuatilia ili kuwachukulia hatua kali kwa mujibu wa Sheria, mwananchi yeyote ambaye amempangisha au anaishi na raia yeyote wa kigeni asiyefahamika na anafanya shughuli gani na mienendo yake ni ya kutia mashaka atoe taarifa haraka sana kwa Viongozi wa Serikali za Mitaa, Wakuu wa Vituo vya Polisi, Wakuu wa Polisi Wilaya, Makamanda wa Polisi Mikoa au apige simu kupitia namba 0699998899.
Asipotoa taarifa na watu hao wakakutwa nyumbani kwake au eneo lake la biashara hatua kali zitachukuliwa dhidi yake.
Jeshi la Polisi linaendelea kuwahakikishia wananchi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama vinaendelea kuhakikisha Taifa letu linaendelea kuwa salama na lenye amani.
Imetolewa na:
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania
Hao askari wa kukodiwa walioingia nchini, wao ni raia halali wa tanzania?Ni kweli kabisa, kuna watu wanatumika
Wapumbavu hawa..wanaframe upumbavu km huu kuhadaa umma, akili yao sijui iko matakoni..!Wapumbavu hawa wanataka kuaminisha watu kuna wageni wakati Samia kaleta mamluki wake kuua Watanzania, tunazo video za kutosha acha internet iwe restored hatosahau mpaka anaenda kaburini kwa mauji aliyowafanyia Watanzania
Una ushahidi? Au ndiyo utasema niliambiwa.Hao askari wa kukodiwa walioingia nchini, wao ni raia halali wa tanzania?
wao wana ushahidi wa hao wageni.. na waliingiaje wakati mipaka inalindwa..?Una ushahidi? Au ndiyo utasema niliambiwa.
Nini kimewafumba mdomo kukanusha licha ya kupigiwa kelele nyingi..?Una ushahidi? Au ndiyo utasema niliambiwa.
Wame-panic vibaya na hawajali hata uchumi, hofu yao kubwa kwa sasa ni internet maana inaenda kuwaweka uchi na umma wa Watanzania wanaenda kuichukia serikali ile mbaya.Wapumbavu hawa..wanaframe upumbavu km huu kuhadaa umma, akili yao sijui iko matakoni..!
Kwahiyo mipaka ina ukuta umezunguka Tanzania nzima? Hayo ni maangalizo ya kiusalama ili ukiwa umemficha mgeni ambaye ameingia nchini bila utaratibu na akafanya uhalifu, wakikudandia usianze kulia na miti. Na kutafuta wazungu wakusaidie.wao wana ushahidi wa hao wageni.. na waliingiaje wakati mipaka inalindwa..?
Wewe pumbavu hakuna mgeni yeyote atakamatwa na kuonyeshwa kuwa ameingia nchini kusababisha vurugu. Watawala, police wao na nyie machawa wao bado mko kwenye denial kwamba Watanzania hawawezi kuandamana dhidi ya ukandamizaji na utawala mbovu wa CCM.Kwahiyo mipaka ina ukuta umezunguka Tanzania nzima? Hayo ni maangalizo ya kiusalama ili ukiwa umemficha mgeni ambaye ameingia nchini bila utaratibu na akafanya uhalifu, wakikudandia usianze kulia na miti. Na kutafuta wazungu wakusaidie.
Haya ni mazingira yanaandaliwa. Wataandaliwa vijana kutoka Kenya, wataonyeshwa kwenye TV na watakiri kuwa waliingia nchini ili kufanya vurugu. Hii yote ni kutaka kudanganya dunia kuwa watanzania wanamkubali Samia ila ''wakorofi'' wachache sana wanasaidiani na vijana kutoka nchi jirani. Nasikia wameandawa vijana kutoka Kenya.wao wana ushahidi wa hao wageni.. na waliingiaje wakati mipaka inalindwa..?