GE2025 Day 5: Polisi wasema kuna wageni wameingia nchini kuchochea vurugu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Haya ni mazingira yanaandaliwa. Wataandaliwa vijana kutoka Kenya, wataonyeshwa kwenye TV na watakiri kuwa waliingia nchini ili kufanya vurugu. Hii yote ni kutaka kudanganya dunia kuwa watanzania wanamkubali Samia ila ''wakorofi'' wachache sana wanasaidiani na vijana kutoka nchi jirani. Nasikia wameandawa vijana kutoka Kenya.
Ukweli utafahamika tu, ni suala la muda huu uharibifu una chain kubwa.
 
Kwahiyo mipaka ina ukuta umezunguka Tanzania nzima? Hayo ni maangalizo ya kiusalama ili ukiwa umemficha mgeni ambaye ameingia nchini bila utaratibu na akafanya uhalifu, wakikudandia usianze kulia na miti. Na kutafuta wazungu wakusaidie.
..usituulize sisi kuhusu mipaka inalindwaje..km unadhani ukuta ndio ulinzi jenga wewe!, sisi tunawalipa mishahara walinde..km hawawezi ondoka kwenye hiyo kazi! deal kwanza na hao wameingizwa kuvuruga amani kabla hujageukia kuuliza raia..!
 
Haya ni mazingira yanaandaliwa. Wataandaliwa vijana kutoka Kenya, wataonyeshwa kwenye TV na watakiri kuwa waliingia nchini ili kufanya vurugu. Hii yote ni kutaka kudanganya dunia kuwa watanzania wanamkubali Samia ila ''wakorofi'' wachache sana wanasaidiani na vijana kutoka nchi jirani. Nasikia wameandawa vijana kutoka Kenya.
Sidhani kama wana uthubutu wa kufanya hivyo waanzishe mgogoro wa kidiplomasia.
Huko Songwe na Mbeya watasema walitoka Zambia?
Dar es Salaam walitokea nchi gani?
 
..usituulize sisi kuhusu mipaka inalindwaje..km unadhani ukuta ndio ulinzi jenga wewe!, sisi tunawalipa mishahara walinde..km hawawezi ondoka kwenye hiyo kazi! deal kwanza na hao wameingizwa kuvuruga amani kabla hujageukia kuuliza raia..!
Ndiyo wameshashughulika nao wa mwanzo, sasa wanatafuta waliobaki wamalizane nao, lina ubaya gani hilo? Au ulitaka waendelee kuchoma vitu nafsi yako ifurahi?
 
Polisi ni *******. Hawa mercenaries wameingizwa na Samia kutoka Uganda, Burundi na wanawaua Watanganyika ili kumsaidia Samia kuwatawala.

Tangu juzi wazalendo wetu JWTZ walikuwa wanawasaidia wananchi kupambana na hawa washenzi alafu polisi ndo wanajifanya eti wanajitokeza leo.

Tena hawa wageni wamekuwa wakitumia magari ya polisi kabisa sehemu nyingi. Walianza kuvaa nguo nyeusi ila baada ya Wananchi kuwashtukia wakaanza kuvaa nguo za kiraia.

Polisi wanahusika kwa asilimia 100 kuwasaidia hawa askari wa kigeni kuwaua Watanganyika ili Samia atutawale
 
View attachment 3496536

TAARIFA KWA UMMA​

Jeshi la Polisi Tanzania, limepata taarifa za watu ambao siyo raia wa Tanzania kuwa wameingia nchini kwa njia zisizo rasmi kwa nia ovu ya kufanya uhalifu ikiwepo vurugu. Watu hao wanajifanya kuwa wanafanya shughuli mbalimbali ikiwepo za bodaboda.

Taarifa zinasema watu hao wapo katika Mikoa ya Arusha, Dar es salaam, Mbeya, Mwanza, Songwe na Mikoa mingineyo.

Wakati Jeshi la Polisi linaendelea kuwafuatilia ili kuwachukulia hatua kali kwa mujibu wa Sheria, mwananchi yeyote ambaye amempangisha au anaishi na raia yeyote wa kigeni asiyefahamika na anafanya shughuli gani na mienendo yake ni ya kutia mashaka atoe taarifa haraka sana kwa Viongozi wa Serikali za Mitaa, Wakuu wa Vituo vya Polisi, Wakuu wa Polisi Wilaya, Makamanda wa Polisi Mikoa au apige simu kupitia namba 0699998899.

Asipotoa taarifa na watu hao wakakutwa nyumbani kwake au eneo lake la biashara hatua kali zitachukuliwa dhidi yake.

Jeshi la Polisi linaendelea kuwahakikishia wananchi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama vinaendelea kuhakikisha Taifa letu linaendelea kuwa salama na lenye amani.

Imetolewa na:

Msemaji wa Jeshi la Polisi

Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania
Justification ya mauaji zaidi ya raia, kwani hawajachoka kuua?
 
Ukombozi una endelea, haturudi nyuma, maana tume gundua bado tuna deal na vilaza. Hivi mnajua kwa nini tunaandamana? Tunahitaji taifa huru, sio kutishwa na polisi, huu ujinga ndio una tulazimu kupigania nchi yetu maana iko chini ya dictator.

Kama mlizoea kuona watanzania wajinga imekula kwenu, kuna bonge la maandamano linakuja...
 
Bila JWTZ hawa washenzi wangetuua kama kuku.
 
View attachment 3496536

TAARIFA KWA UMMA​

Jeshi la Polisi Tanzania, limepata taarifa za watu ambao siyo raia wa Tanzania kuwa wameingia nchini kwa njia zisizo rasmi kwa nia ovu ya kufanya uhalifu ikiwepo vurugu. Watu hao wanajifanya kuwa wanafanya shughuli mbalimbali ikiwepo za bodaboda.

Taarifa zinasema watu hao wapo katika Mikoa ya Arusha, Dar es salaam, Mbeya, Mwanza, Songwe na Mikoa mingineyo.

Wakati Jeshi la Polisi linaendelea kuwafuatilia ili kuwachukulia hatua kali kwa mujibu wa Sheria, mwananchi yeyote ambaye amempangisha au anaishi na raia yeyote wa kigeni asiyefahamika na anafanya shughuli gani na mienendo yake ni ya kutia mashaka atoe taarifa haraka sana kwa Viongozi wa Serikali za Mitaa, Wakuu wa Vituo vya Polisi, Wakuu wa Polisi Wilaya, Makamanda wa Polisi Mikoa au apige simu kupitia namba 0699998899.

Asipotoa taarifa na watu hao wakakutwa nyumbani kwake au eneo lake la biashara hatua kali zitachukuliwa dhidi yake.

Jeshi la Polisi linaendelea kuwahakikishia wananchi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama vinaendelea kuhakikisha Taifa letu linaendelea kuwa salama na lenye amani.

Imetolewa na:

Msemaji wa Jeshi la Polisi

Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania
Kwa akili ya kawaida tu, hivi kweli inawezekana raia wa nchi ya nje waingie nchini kwa wingi kuchochea vurugu katika miji yote hiyo: Arusha, Dar, Mwanza, Mbeya, Songwe, na kwinginepo. Nani atakuwa ameshinikiza wageni hao waje na awasambaze kote huko? Yote hayo kwa madhumuni gani? Tamko hili ni upotoshaji tu wa ukweli kwamba Watanzania wenyewe hawaitaki serikali iliyopo madarakani. kwa hiyo Polisi wanasingizia wageni.
 
Aliyeingiza hao wageni kutuua Watanganyika ili atutawale ni huyo Samia mwenyewe. Wanatoa taarifa za upotoshaji kujaribu kumuokoa huyu mshenzi anaetaka kututawala Watanganyika kwa nguvu
 
Haya ni mazingira yanaandaliwa. Wataandaliwa vijana kutoka Kenya, wataonyeshwa kwenye TV na watakiri kuwa waliingia nchini ili kufanya vurugu. Hii yote ni kutaka kudanganya dunia kuwa watanzania wanamkubali Samia ila ''wakorofi'' wachache sana wanasaidiani na vijana kutoka nchi jirani. Nasikia wameandawa vijana kutoka Kenya.
Sina cha kuongeza mkuu ,umepita mulemule .
 
Ni nani ana zunguka kuua watanzania? Samia na group lake hawaja chaguliwa na wananchi, hawana legitimate yeyote ile ya kuamrisha polisi kuwa chukulia hatua au waandamaji hstua yeyote. Mwenyewe amelazimisha kujitangaza kwa uchaguzi wa kijinga, ambao haujawahi tokea ulimwengu kokote, mtu unaiba kwa akili sio akilizi za form four failure, kwanza una funga mpinzani wako halali, unateka watu na kuwapoteza, unakamata yeyote anae kupinga au kukukosoa, unategemea nini?

Hii kitu imeenda global it is too late to her, kama bado ana copy kutoka kwa Mseven wa Uganda njia za kuua wananchi majumbani mwambie kitamramba, maana tukija this time mwenye hata amini, sisi hatuwezi kuwa watumwa nchini kwetu tutapigana hadi dakika mwisho.

By the way Trump kisha mwambia to allow people of Tanzania to make choices independently, otherwise they will restore order, uchaguzi ni wake, kwenda a peace way or Mseven way..
 
Back
Top Bottom