Ukweli utafahamika tu, ni suala la muda huu uharibifu una chain kubwa.Haya ni mazingira yanaandaliwa. Wataandaliwa vijana kutoka Kenya, wataonyeshwa kwenye TV na watakiri kuwa waliingia nchini ili kufanya vurugu. Hii yote ni kutaka kudanganya dunia kuwa watanzania wanamkubali Samia ila ''wakorofi'' wachache sana wanasaidiani na vijana kutoka nchi jirani. Nasikia wameandawa vijana kutoka Kenya.
..usituulize sisi kuhusu mipaka inalindwaje..km unadhani ukuta ndio ulinzi jenga wewe!, sisi tunawalipa mishahara walinde..km hawawezi ondoka kwenye hiyo kazi! deal kwanza na hao wameingizwa kuvuruga amani kabla hujageukia kuuliza raia..!Kwahiyo mipaka ina ukuta umezunguka Tanzania nzima? Hayo ni maangalizo ya kiusalama ili ukiwa umemficha mgeni ambaye ameingia nchini bila utaratibu na akafanya uhalifu, wakikudandia usianze kulia na miti. Na kutafuta wazungu wakusaidie.
Sidhani kama wana uthubutu wa kufanya hivyo waanzishe mgogoro wa kidiplomasia.Haya ni mazingira yanaandaliwa. Wataandaliwa vijana kutoka Kenya, wataonyeshwa kwenye TV na watakiri kuwa waliingia nchini ili kufanya vurugu. Hii yote ni kutaka kudanganya dunia kuwa watanzania wanamkubali Samia ila ''wakorofi'' wachache sana wanasaidiani na vijana kutoka nchi jirani. Nasikia wameandawa vijana kutoka Kenya.
Ndiyo wameshashughulika nao wa mwanzo, sasa wanatafuta waliobaki wamalizane nao, lina ubaya gani hilo? Au ulitaka waendelee kuchoma vitu nafsi yako ifurahi?..usituulize sisi kuhusu mipaka inalindwaje..km unadhani ukuta ndio ulinzi jenga wewe!, sisi tunawalipa mishahara walinde..km hawawezi ondoka kwenye hiyo kazi! deal kwanza na hao wameingizwa kuvuruga amani kabla hujageukia kuuliza raia..!
Polisi ******* sana.Polisi imeua watu wangapi hadi sasa? Mbona hawasemi? Kuna wageni wamekuja kuzika
Justification ya mauaji zaidi ya raia, kwani hawajachoka kuua?View attachment 3496536
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Tanzania, limepata taarifa za watu ambao siyo raia wa Tanzania kuwa wameingia nchini kwa njia zisizo rasmi kwa nia ovu ya kufanya uhalifu ikiwepo vurugu. Watu hao wanajifanya kuwa wanafanya shughuli mbalimbali ikiwepo za bodaboda.
Taarifa zinasema watu hao wapo katika Mikoa ya Arusha, Dar es salaam, Mbeya, Mwanza, Songwe na Mikoa mingineyo.
Wakati Jeshi la Polisi linaendelea kuwafuatilia ili kuwachukulia hatua kali kwa mujibu wa Sheria, mwananchi yeyote ambaye amempangisha au anaishi na raia yeyote wa kigeni asiyefahamika na anafanya shughuli gani na mienendo yake ni ya kutia mashaka atoe taarifa haraka sana kwa Viongozi wa Serikali za Mitaa, Wakuu wa Vituo vya Polisi, Wakuu wa Polisi Wilaya, Makamanda wa Polisi Mikoa au apige simu kupitia namba 0699998899.
Asipotoa taarifa na watu hao wakakutwa nyumbani kwake au eneo lake la biashara hatua kali zitachukuliwa dhidi yake.
Jeshi la Polisi linaendelea kuwahakikishia wananchi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama vinaendelea kuhakikisha Taifa letu linaendelea kuwa salama na lenye amani.
Imetolewa na:
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania
Bila JWTZ hawa washenzi wangetuua kama kuku.Ukombozi una endelea, haturudi nyuma, maana tume gundua bado tuna deal na vilaza. Hivi mnajua kwa nini tunaandamana? Tunahitaji taifa huru, sio kutishwa na polisi, huu ujinga ndio una tulazimu kupigania nchi yetu maana iko chini ya dictator.
Kama mlizoea kuona watanzania wajinga imekula kwenu, kuna bonge la maandamano linakuja...
Pole nyingi kwa ndugu zetu waliokutana na kadhia hiyo na waliofariki wapumzike kwa amani na majeruhi wapone kwa haraka tuendelee kujenga nchi yetu.🙏Bila JWTZ hawa washenzi wangetuua kama kuku.
Kwa akili ya kawaida tu, hivi kweli inawezekana raia wa nchi ya nje waingie nchini kwa wingi kuchochea vurugu katika miji yote hiyo: Arusha, Dar, Mwanza, Mbeya, Songwe, na kwinginepo. Nani atakuwa ameshinikiza wageni hao waje na awasambaze kote huko? Yote hayo kwa madhumuni gani? Tamko hili ni upotoshaji tu wa ukweli kwamba Watanzania wenyewe hawaitaki serikali iliyopo madarakani. kwa hiyo Polisi wanasingizia wageni.View attachment 3496536
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Tanzania, limepata taarifa za watu ambao siyo raia wa Tanzania kuwa wameingia nchini kwa njia zisizo rasmi kwa nia ovu ya kufanya uhalifu ikiwepo vurugu. Watu hao wanajifanya kuwa wanafanya shughuli mbalimbali ikiwepo za bodaboda.
Taarifa zinasema watu hao wapo katika Mikoa ya Arusha, Dar es salaam, Mbeya, Mwanza, Songwe na Mikoa mingineyo.
Wakati Jeshi la Polisi linaendelea kuwafuatilia ili kuwachukulia hatua kali kwa mujibu wa Sheria, mwananchi yeyote ambaye amempangisha au anaishi na raia yeyote wa kigeni asiyefahamika na anafanya shughuli gani na mienendo yake ni ya kutia mashaka atoe taarifa haraka sana kwa Viongozi wa Serikali za Mitaa, Wakuu wa Vituo vya Polisi, Wakuu wa Polisi Wilaya, Makamanda wa Polisi Mikoa au apige simu kupitia namba 0699998899.
Asipotoa taarifa na watu hao wakakutwa nyumbani kwake au eneo lake la biashara hatua kali zitachukuliwa dhidi yake.
Jeshi la Polisi linaendelea kuwahakikishia wananchi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama vinaendelea kuhakikisha Taifa letu linaendelea kuwa salama na lenye amani.
Imetolewa na:
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania
Aliyeingiza hao wageni kutuua Watanganyika ili atutawale ni huyo Samia mwenyewe. Wanatoa taarifa za upotoshaji kujaribu kumuokoa huyu mshenzi anaetaka kututawala Watanganyika kwa nguvuKwa akili ya kawaida tu, hivi kweli inawezekana raia wa nchi ya nje waingie nchini kwa wingi kuchochea vurugu katika miji yote hiyo: Arusha, Dar, Mwanza, Mbeya, Songwe, na kwinginepo. Nani atakuwa ameshinikiza wageni hao waje na awasambaze kote huko? Yote hayo kwa madhumuni gani? Tamko hili ni upotoshaji tu wa ukweli kwamba Watanzania wenyewe hawaitaki serikali iliyopo madarakani. kwa hiyo Polisi wanasingizia wageni.
Sina cha kuongeza mkuu ,umepita mulemule .Haya ni mazingira yanaandaliwa. Wataandaliwa vijana kutoka Kenya, wataonyeshwa kwenye TV na watakiri kuwa waliingia nchini ili kufanya vurugu. Hii yote ni kutaka kudanganya dunia kuwa watanzania wanamkubali Samia ila ''wakorofi'' wachache sana wanasaidiani na vijana kutoka nchi jirani. Nasikia wameandawa vijana kutoka Kenya.
wewe ni mmojawapoNi kweli kabisa, kuna watu wanatumika
Tuelimishane kidogo, mtu ametangazwa kushinda uchaguzi kwa 98%, how could she lost the legitimacy?. Kwani legitimacy ya kutawala inatokana na nini?..She has lost legitimacy to lead this great nation of Tanganyika
Na wewe kweli unaamini Samia kashinda kwa 98%?Tuelimishane kidogo, mtu ametangazwa kushinda uchaguzi kwa 98%, how could she lost the legitimacy?. Kwani legitimacy ya kutawala inatokana na nini?.
P