GE2025 Day 5: Polisi wasema kuna wageni wameingia nchini kuchochea vurugu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Na wewe kweli unaamini Samia kashinda kwa 98%?
Sio kila kitu ni mambo ya imani na kuamini, mambo ya kuamini na imani tuyaache kwenye dini, ukiambiwa na mamlaka ameshinda kwa 98%, unapokea tuu, watu milioni 32 wamempigia kura, watu si mlihamasishana msipige kura, tukawaelimisha watu humu, namna pekee ya kuilinda kura yako ni kuipiga, usipo piga utapigiwa!, kama wewe hukupiga kura, ujue kura yako umepigiwa na ipo kwenye hizo kura milioni 32 za ushindi.Thread 'Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga!' Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga!

P
 

02 November 2025
Dar es Salaam, Tanzania

BREAKING NEWS - RC ALBERT JOHN CHALAMILA ATOA TAARIFA KUHUSU UWEPO WA VIKOSI VYA KINGENI...

View: https://m.youtube.com/watch?v=3jz4yvjkl-c
Albert John Chalamila asema hakuna kitu kama hicho ila hawezi kuingia kwa undani maana suala la vikosi vya kigeni ni waziri wa mambo ya nje Mahmoud Thabit Kombo na waziri wa ulinzi Dkt. Stergomena L. Tax ndiyo wanaweza kuja na kufafanua kwa umma kwa undani ....

Mkuu wa mkoa akiongea leo tarehe 02 November 2025 anaongeza tunaendelea kusaidia madhara yasiwe makubwa sana .....

Vyombo vya dola vinaendelea kudhibiti makundi ya ndani na ya nje huku uchunguzi ukiendelea...

Kuhusu wanajeshi waliovaa mabakabaka wanaozunguka na usafiri huku wamebeba silaha za kivita kudungua watu kwa risasi ovyo ovyo .... habari hizi


Picha maktaba : Mahmoud Thabit waziri wa mambo ya nje




Picha maktaba : Dkt. Stergomena L. Tax waziri wa ulinzi
 
Hata Nyerere kwenye mfumo wa chama kimoja sijui kama alikuwa anashinda kwa 98%, unapoteza credibility yako kutetea huu uchaguzi
 
02 November 2025
Dar es Salaam, Tanzania

BREAKING NEWS - RC ALBERT JOHN CHALAMILA ON THE EXISTENCE OF MERCENARIES OR FOREIGN FORCES IN TANZANIA SHOOTING INDISCRIMINATELY AT CIVILIANS ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=3jz4yvjkl-c
Albert John Chalamila says there is no such thing but he cannot go into detail because the issue of foreign forces is the responsibility of Foreign Affairs Minister Mahmoud Thabit Kombo and Defense Minister Dr. Stergomena L. Tax, who can come and explain to the public in detail....

The regional commissioner, speaking today on 02 November 2025, adds that we continue using all our local forces that is the police and Tanzanian people's defence forces TPDF to prevent escalation .....

State agencies continue to monitor alleged internal and external groups that are said to be doing extra judicial killings ... and as of now we are doing investigations to find if such groups exist...

About soldiers wearing camouflage uniforms roaming around and carrying army Standard weapons to shoot people indiscriminately....this news
 
FROM THE LIBRARY:

27 OCTOBER 2025

Dar es Salaam Regional Commissioner Albert Chalamila, who is also the chairman of the defense and security committee, introduced the names of those sitting with him on the main table, which he called state machinery, referring to the coordinators of the intelli-defense and security agencies of the Dar es Salaam region, in front of journalists.

View: https://m.youtube.com/watch?v=F8bNL0HHN9gDar es Salaam Regional Commissioner Albert Chalamila, who doubles as regional chairman of the intelligence and security committee, at a press conference before journalists, introduced the names of those sitting with him at the high table, which he refers them as government machinery, meaning they are coordinators of the intelligence, defence and security agencies of the Dar es Salaam region in Tanzania .
 
Kupiga kura na kuilinda kwa mapambano na wenye nia ya kuwafanya muwe rubber stamp na kukataa kupiga kura..kipi kina ujumbe kuonyesha una akili..? wewe Pascal!
 
Tuelimishane kidogo, mtu ametangazwa kushinda uchaguzi kwa 98%, how could she lost the legitimacy?. Kwani legitimacy ya kutawala inatokana na nini?.
P
Duh! Ila mkuu mayalla mbona unauliza maswali yakitoto sana , nini shida? anyway legitimacy ya kutawala ni kitendo cha watawaliwa kukubali kutawaliwa na anawatawala, simple as that.

Swali , Sa100 anayo hiyo legitimacy? Au anayo kwasababu ya kupewa hiyo 98% hiyo ya mezani?
 

On contrary to what the Dar es Salaam regional commissioner says, News and videos clips coming out of Dar es Salaam shows a different story

BREAKING: Bod!es scattered all over in Tanzania​


View: https://m.youtube.com/watch?v=FSUh64R0Jtk
 
Hii ni deflection at best. Kwanini hawazungumzii mercenaries wanaowatumia kuua Watanzania? Hawa watu sijui wanatuonaje Watanzania!
 

Mahmoud Thabit Kombo anaiambia jumuiya ya kimataifa uchaguzi ulikuwa wa haki na hakuna mauaji, nguvu kubwa iliyotumika.

Huyu ni mmoja wa genge la wahuni wa Samia, Chalamila anajitahidi sana kuingia ndani la hili genge la wahuni.
 
Pumba tupu
 
Labda wageni wa Samia kutoka kwa Museveni,ndiyo yale ya kusema CUF wameleta kontena la mapanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…