GE2025 Day 5: RC Chalamila asema hakuna aliyeuawa na Polisi. Asema watu kufa ni jambo la kawaida

GE2025 Day 5: RC Chalamila asema hakuna aliyeuawa na Polisi. Asema watu kufa ni jambo la kawaida

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Makumbele

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2009
Posts
312
Reaction score
1,433
RC Chalamila leo alipata nafasi ya kupokea simu za wananchi huku akiwapoza kuwa haki ya usalama wa jiji ni shwari.

Aidha, amesema Polisi na Vyombo vya Usalama hawajaua mtu katika maandamano yaliyotokea. Ameongeza kuwa watu kufa ni jambo la kawaida.

Katika simu alizokuwa anapokea, mama mmoja amamwambia kuwa amepoteza ndugu zake 4 katika kadhia hii iliyotokea; badala ya kujibiwa, ameambiwa huyo mama atoe details za mtaa anakokaa ili “aweze kusikilizwa na kusaidiwa”

Hii ndo update ya leo, Novemba 2, 2025.

 
RC Chalamila leo alipata nafasi ya kupokea simu za wananchi huku akiwapoza kuwa haki ya usalama wa jiji ni shwari.

Aidha, amesema Polisi na Vyombo vya Usalama hawajaua mtu katika maandamano yaliyotokea. Ameongeza kuwa watu kufa ni jambo la kawaida.

Katika simu alizokuwa anapokea, mama mmoja amamwambia kuwa amepoteza ndugu zake 4 katika kadhia hii iliyotokea; badala ya kujibiwa, ameambiwa huyo mama atoe details za mtaa anakokaa ili “aweze kusikilizwa na kusaidiwa”

Hii ndo update ya leo, Novemba 2, 2025.

Video nitaipandisha soon
Huyu ndo anatujibu kwa kiburi hivyo?

Lazima asalimiwe. Hawezi kutuchukulia kama wapumbavu
 
Hawa watu wengine sijui huwa wanaishi sayari gani tu!!
Jeshi la wananchi walikua wanazurura tu na yale magari yao, wale wa kutuliza ghasia walikua wanapiga yale mabomu ya machozi, ila kulikuwa na hao jamaa wamevalia kiraia wanatumia Alphard nyeusi ndo walikua wanapiga watu risasi
 
Uzuri watu wanaushahidi wa wazi kabisa ,tuombe tu Mungu mtandao ufungiwe milele , vinginevyo kazi wanayo
 

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania Wainua Onyo Lake la Usafiri hadi Kiwango cha 3​

na  updates 02 November 2025

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umepandisha onyo lake la usafiri hadi kiwango cha 3 huku hali ya wasiwasi ikiongezeka nchini humo huku kukiwa na ghasia za baada ya uchaguzi.

Katika taarifa yake Jumamosi, Novemba 1, 2025, Ubalozi huo uliwaonya raia wake kufikiria upya safari ya kuja Tanzania kutokana na machafuko, uhalifu, ugaidi, na kulengwa .

"Ushauri wa Usafiri kwa Tanzania umeongezeka hadi Kiwango cha 3 - Fikiria upya juu ya safiri. Kiashiria cha hatari cha 'machafuko' kimeongezwa. Muhtasari wa ushauri unaonyesha vikwazo vya sasa vya usafiri kwa wafanyakazi wa Ubalozi wa Marekani," ilisema taarifa hiyo.

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania Watoa Ushauri wa Usafiri kwa Raia wake​

Katika ushauri wake, Ubalozi ulieleza hatua kadhaa ambazo raia wa Marekani wanaosafiri kwenda Tanzania wanapaswa kufuata huku kukiwa na maandamano.

Miongoni mwa hatua hizi ni kuwa na mpango wa uokoaji wa dharura ambao hautegemei usaidizi wa serikali ya Marekani. Wasafiri wanashauriwa kufuatilia vyombo vya habari vya ndani kwa habari zinazochipuka, kuwa tayari kurekebisha mipango yao ipasavyo, na kudumisha wasifu wa chini


Zaidi ya hayo, Wamarekani wanashauriwa kila wakati kubeba nakala ya pasipoti na visa yao ya Marekani, kuweka hati asili katika eneo salama, na kuendelea kufahamu mazingira yao.

Mapendekezo mengine ni pamoja na:

  • Usiache chakula au vinywaji bila kutunzwa.
  • Kaa macho katika maeneo ya watalii.
  • Jiandikishe katika Mpango wa Kujiandikisha kwa Wasafiri Mahiri (STEP) ili upokee masasisho na arifa kutoka kwa Ubalozi wa Marekani au ubalozi mdogo. Kujiandikisha pia kunaruhusu Ubalozi kuwasiliana na wasafiri au anwani zao za dharura katika dharura.
  • Kagua Ripoti ya Usalama wa Nchi ya Tanzania.
  • Kagua taarifa kuhusu Ugaidi, Safari hadi Maeneo Hatarishi Zaidi, Uhalifu Nje ya Nchi, na Waathiriwa wa Uhalifu.
  • Andaa mpango mbadala wa dharura na uhakiki Orodha ya Hakiki ya Wasafiri.
  • Tembelea tovuti ya CDC kwa taarifa za hivi punde za afya ya usafiri.
Onyo la Ubalozi wa Marekani linakuja huku kukiwa na wito wa kujizuwia kwa vikosi vya usalama kufuatia ripoti za kutumia nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji.

Umoja wa Mataifa Walaani Nguvu Zilizokithiri Zinazotumiwa na Polisi​

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres alisema "anatiwa wasiwasi sana" na hali nchini Tanzania, ikiwa ni pamoja na ripoti za vifo na majeruhi wakati wa maandamano. Alisema Umoja wa Mataifa uko tayari kuunga mkono juhudi zinazolenga kustawisha mazungumzo, kuimarisha utawala wa kidemokrasia, na kuendeleza amani endelevu.

"Ninatoa wito kwa wote kujizuia, kukataa vurugu, na kushiriki katika mazungumzo jumuishi na yenye kujenga ili kuzuia kuongezeka zaidi," Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa alisema.

A joint statement from the foreign ministers of Canada, Norway, and the United Kingdom condemned the police actions against protesters and called on Tanzanian authorities to uphold their international commitments and ensure that citizens can participate safely in public life.

“We are concerned by the situation in Tanzania following the national elections of October 28 and 29. There are credible reports of numerous fatalities and significant injuries resulting from the security response to protests, which began on October 29.

We urge the authorities, as previously discussed with the Ministry of Foreign Affairs, to act with maximum restraint and respect the rights of assembly and freedom of expression,” the statement read
 
22 MINUTE VIDEO TODAY ALBERT CHALAMILA SPEAKING TO THE MEDIA 02 NOVEMBER 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=3jz4yvjkl-c
Albert John Chalamila gives an assessment and asks citizens to be patient.

And for citizens to be patient, this is not a long sentence as some citizens of the Dar es Salaam region are complaining about.

Food availability, Dar es Salaam region is working closely with the Coast and Morogoro regions to ensure food reaches

Regarding the internet issue, M-Pesa access to the Internet is that due to security threats, the banking situation has to use the old system while we make efforts to return to the internet system.

We ourselves closed some roads.. Aljazeera BBC I have checked their news but our information about the correct ones will be provided by ourselves instead of foreign media.

Today we have seen that we should be good ambassadors because ports and other infrastructure are not functioning, hence the ongoing unrest.

Lodge, hotel and guest house owners must register the identities of guests staying in their businesses, insists Albert John Chalamila

The election is over, we accept Samia even if your candidate did not win, says Albert Chalamila

Dar es Salaam is the hub of Zambia, Zimbabwe, Burundi, Rwanda, DR Congo so this declared state of emergency will continue until things improve, Albert Chalamila notes...



FROM THE LIBRARY:

27 OCTOBER 2025

Dar es Salaam Regional Commissioner Albert Chalamila, who is also the chairman of the defense and security committee, introduced the names of those sitting with him at the main table, which he called machinery, referring to the coordinators of the defense and security agencies of the Dar es Salaam region, in front of journalists.

View: https://m.youtube.com/watch?v=F8bNL0HHN9g
Dar es Salaam Regional Commissioner Albert Chalamila, who doubles as regional chairman of the intelligence and security committee, at a press conference before tens of journalists, introduced the names of those sitting with him at the high table, which he refers them as government machinery, meaning they are coordinators of the intelligence, defence and security agencies of the Dar es Salaam region.
 
22 MINUTES long VIDEO TODAY

Governor ALBERT CHALAMILA SPEAKING TO THE MEDIA 02 NOVEMBER 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=3jz4yvjkl-c
Albert John Chalamila the Dar es Salaam County governor ask for citizens to be patient, this is not a long ongoing curfew as some citizens of the Dar es Salaam region are complaining about.

Food availability, Dar es Salaam region is working closely with the Coast and Morogoro regions to ensure food reaches this most populous city in the East African region

Regarding the closure of internet issue, M-Pesa mobile banking money application access and other social media platforms, the restrictions is due to security threats, and thus we ask people to use the old system while we make efforts to restore rule and order on the streets before return to the full access of internet system.

We ourselves closed some roads.. Aljazeera BBC I have watched their news ......but it is our information from our official source are correct ones and will be provided to you so do not rely on foreign media outlets...

Lodges, motels, hotel and guest house owners must register the identities of guests staying in their properties, insists govenor Albert John Chalamila

The election is over, we have overwhelming voted Samia Hassan even if your candidate did not win we have to accept the election results says Albert Chalamila

Dar es Salaam is the hub for logistics to a number of countries in this region, you know Zambia, Zimbabwe, Burundi, Rwanda, DR Congo depends on harbour, railways, road and air transport so this declared state of emergency will continue until things improve insists Albert Chalamila the governor of Dar es Salaam County in Tanzania
 
Uzuri tunaishi nao sina shaka na matumizi ya kauli yake ,itatumika tu tena kwa uaminifu usiyo na shaka
 
Back
Top Bottom