Quavohucho
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 798
- 2,028
Dahhh... Ivi Ask . kindole bado yupo ππNjoo nyabula
Hiyo msabe ndiyo naisikia leo. Ila kimpumu na ulanzi nimekunywa. Ila nilikuwa sipendi mkangafu. Kimpumu nilikunywa ile ya kuweka mirija.Image,Kalenga,Isimila na Nduli.
NB;Nimepakumbuka sana Iringa. Nilikuwa nakunywa msabe,ulanzi na kimpumu pale kilabu cha Wipinye au Mahaba Niue.
Iringa barid jamni nilitaka kwenda Njombe aisee nimeghairisha πππMafinga. Na huu mwezi wa 6 ataimba.
Ukicheki fresh Kuna dada yangu hapo. Na yeye kaniambia kapanda milimani. Achana na huyu m'baya DepalKutoka top ya mawe ya Gangilonga
View attachment 3006666
Njombe usiende. Sahivi 21Β°CIringa barid jamni nilitaka kwenda Njombe aisee nimeghairisha πππ
Sijawahi hata mara moja, nikiona nimebanwa sana natembea na Bibi yenu π€Huogopi kuto..mba Iringa? Ni hatari sana
Kindole na Kalinga Iringa ni kama jina la Mushi ukienda Moshi.Dahhh... Ivi Ask . kindole bado yupo ππ
Hahaha...........πOld is Goldπ€Έ
KMa pisi sana dada angu. Sema kausha.Kama wapo mabinti 2 na kijana mmoja nimewaona π€£
Respect π₯At least you have been a real gentleman!ππ
Bado ipo hii?? πππHall day inn frelimo (local and cheap bitchs)local brothel
Nusu ya hizi sehemu nimetembelea...Mount royal is the best hapa IringaMagic site mtwivila( zoo),
Isimila stone age
Ruaha national park,
Mtera dem,
Asas runch
Hall day inn frelimo (local and cheap bitchs)local brothel
Miami',lock down, and vIP club( for drinks,wine,cocktail, night clubs and mid- class bitch)
Mount royal,gentle hill,elexander hotel (for hotels ,foods and soft drinks)
Nb:kiwango cha maambukizi mapya ya HIV/AIDS ni kiasi kidogo sana Iringa mjini
Sasa si ungetoka nje masta? πππNilienda June pale Miami nikafungua dirisha kaunta pale ghorofani jamaa walinimind sana na kuanza kunilaumu Mimi nimezoea baridi labda nimetokea mufindi au mafinga huko ndiyo maana siogopi lile baridi. Tuligombana sana na wadau kwasababu wao wanajifungia lkn ukumbi unakosa hewa
Tulienda Njombe kwa mshikaji wetu miezi mibaya. Mama ake akatuandalia maziwa. Ila alikataa tujimiminie wenyewe kutoka kwenye chupa. Alikua anatupoozea kama watoto.Baridi hiyo inaisha na fresh milk,na mazoezi kidogo tuu