Kazi ni Moja tu. cc Luca mwanachama.Mchumba angu ni wewe tu
Usisahau usiku kutupa updates za Miami.We phala miami ulifiata malaya wa chuo hahaha
Acha kwenda kishuani. Utakutana na watalii wenzio. Nenda local ukutane na wazawa.Bro Hizo sehemu sio rafiki kwangu.
Mount royal, sunset ndio nspenda nikiwa huru
Kausha🤸Kazi ni Moja tu. cc Luca mwanachama.
15k show timeBado ipo hii?? 😂😂😂
Wee nisingeoga wiki 😀😀😀
☺️☺️☺️4. Uwanja wa Samora.
😂😂Nikiendaga naoga saa 8 mchana tu Zaid ya hapo hapana 😂😂😂Si utanuka??😂
Comment niliokuwa nasubiri.....Miami ndio kwenye mambo yetu?Usisahau usiku kutupa updates za Miami.
😅😅😅 Ndani ghorofani ndiyo kulikuwa na vibe nyingi watu mob-hlf Huwa napenda kukaa kaunta ili nisikaukiwe na mvinyo , muumini wa kata mti panda mti ,sipendi kusubiria sana mvinyo.Sasa si ungetoka nje masta? 😂😂😂
Sasa pale ndo day trip??gangilonga iko pale pale mjini.mwendo wa nusu dk 20 kwa gari tena inaweza isifike.kifupi Iringa hakuna vivutio vingi vya utalii hotel zenyewe chache mnooo.may be uende mbuganiBasi nenda Gangilonga ukaone jiwe na mto ruaha
Kwa wewe mwenyewe unaona kawaida kwahyo nayachukua mawazo yakoSasa pale ndo day trip??gangilonga iko pale pale mjini.mwendo wa nusu dk 20 kwa gari tena inaweza isifike.kifupi Iringa hakuna vivutio vingi vya utalii hotel zenyewe chache mnooo.may be uende mbugani
Natumaini mleta mada umepata mwongozoMagic site mtwivila( zoo),
Isimila stone age
Ruaha national park,
Mtera dem,
Asas runch
Hall day inn frelimo (local and cheap bitchs)local brothel
Miami',lock down, and vIP club( for drinks,wine,cocktail, night clubs and mid- class bitch)
Mount royal,gentle hill,elexander hotel (for hotels ,foods and soft drinks)
Nb:kiwango cha maambukizi mapya ya HIV/AIDS ni kiasi kidogo sana Iringa mjini