Daz Baba anaitaji msaada wa haraka....Iangaliwe namna ya kumsaidia

Namuomba mungu kila siku wanangu wasije kabisa kuwa wasanii wa nchi hii, hakuna kwenye afadhali iwe music iwe bongo movies yote sawa tu,
 
Duh inatisha sana. Mko wapi ma-haters wa mawingu fm? Make kila tatizo la msanii mnapenda kulifungamanisha nao hata kama hamna ushahidi wowote mradi waonekane wabaya.
 
Duh inatisha sana. Mko wapi ma-haters wa mawingu fm? Make kila tatizo la msanii mnapenda kulifungamanisha nao hata kama hamna ushahidi wowote mradi waonekane wabaya.

Acha kuwashwa, kuna sehemu yoyote kwenye thread hii imetajwa Clouds au Ruge?
 
asaidiwe kwani nani alimsaidia kuanza kuvuta unga?wataongezeka wengi akisaidiwa kwa kutegemea kusaidiwa!
 
Duh inatisha sana. Mko wapi ma-haters wa mawingu fm? Make kila tatizo la msanii mnapenda kulifungamanisha nao hata kama hamna ushahidi wowote mradi waonekane wabaya.

Mkuu, naona unakuna palipoacha kuwasha eeehh......
 
Daz baba nshakua mtu mzima mimi sasa naitaji mrembo wa kuishi na miii.............................
 
oyo mwenzetu kashapotea kinachoitajika kwake masaada so tujadili tunamaaidiaje kama wana jamii nawapenda burudani tuliopo hapa jf kama alikosea tusijadili issue ni msaada maana siku akututoka radio na magazeti na blog zote zitandika na watapiga pesa sasa leo ndugu yetu katigwa tumsaidie jamani ikiwezekana kupitia jukwaa hili members kadhaa tujutokeze tuhakikishe daz anarudi katika hali yake
 
Ni wazi ndugu yetu anatumia madawa ya kulevya tena kwa mda mrefu, ila tukikumbuka mchango wake katika tasnia ya burudani hususan muziki, Daz baba ana haki ya kukumbukwa kwani ame-inspire vijana mpaka wazee kugeuza mtizamo wao kuhusu muziki wa kizazi kipya.

Kumbuka kazi yao ya kundi; Wimbo 'barua', 'matatizo', 'nitafanya nini'. Ukija kazi zake binafsi; Wimbo 'wife', 'elimu dunia', 'umbo namba nane', 'nipe tano' pamoja na kazi nyingine alizoshirikishw kama ''wana mwita kaka pouwa'', Hakika alikonga nyoyo zetu kwa utunzi mzuri na sauti nzuri iliyofanya wengi tumjue. Kwanini sasa tusimsaidie ndugu yetu?

Wito wangu kwa Media, nyie mna nguvu na ushawishi wa kuaminika, naombeni tumsaidie Daz baba / Daz Mwalimu arudi katika hali yake.
 
Reactions: amu
huyu kurudi katika afya yake ya kawaida labla Umoja wa Mataifa iingilie kati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…