B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,443
- 3,002
Kwani kabadili uraia kawa msomali?
namfananisha na jamaa yule pairitii wa muvi ya capteni philips
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kabadili uraia kawa msomali?
nilimuona Mwenge karibu na BP yuko na masela wake
wako choka mbaya... na hizo dread zilivyochachamaa sasa
a groupie like you can't tell me nuttin',..unataka nianze kumlilia mtu aliyeabuse hela aliyoipata kwa miunga!!!!watu type kama wewe unakuta una ndugu wana shida wanahitaji msaada lakini unamshobokea huyo teja!get outta here a stan..umenikera.
kisa cha kuulaani uzao wa mwenzako???
ni wapi nimeulaani mkuu, we ni mtanzania au mhindi? kushughulika hivi ni sawa na kulaani?
unaweza kushughulika kwa mema au mabaya, sasa kwanini ukimbilie kwenye kulaani?
Elimu dunia
Kwan hela yake alikula na nani
Nakumbuka Ferooz alimfukuza kundini huyu mshikaji sababu ya kula unga....Leo hii feruz nae gari imewaka inakaribia kuzima kama daz.
Kupatwa na nini?!