Daz Baba anaitaji msaada wa haraka....Iangaliwe namna ya kumsaidia

Duh inatisha sana. Mko wapi ma-haters wa mawingu fm? Make kila tatizo la msanii mnapenda kulifungamanisha nao hata kama hamna ushahidi wowote mradi waonekane wabaya.

We Ruge mbona unajistukia?
 

Mwache tu akufe iwe fundisho, alishaonywa sana kipindi hali haijawa mbaya hadi akafukuzwa Daz Nundaz. Tena ajabu alianza kubwia toka wakati yuko hot kwenye industry sa sijui naye watasema alikuwa kwenye stress za kubaniwa
 

Siyo rahisi kihivyo mkuu. Msaada kwa watu wenye matatizo yaliyopindukia hauwezi kufanya kazi kama wao wenyewe hawana dhamira hiyo. Atakuchukia tu na kukuona mchawi, unabana ye kupata mastimu makali makali. Kana kwamba unaona anafaidi saana. Ndiyo akili yao hiyo. Kwa hiyo ni mpaka yeye atake kusaidiwa kutoka ndiyo msaada unaweza fanya kazi. Je yuko tayari kusaidiwa? Je anaichukia hali hiyo aliyokuwa nayo?
 
Thread ya pili hii inamuhusu Daz Baba, kweli maji ya shingo yamemfika
 

Walio karibu nae wakiandaa mazingira mazuri na jamii tukapata uhakika kuwa atasaidika na yeye mwenyewe yupo tayari kusaidiwa (kama vile kwenda reharb n.k).....hata mimi Fyatu sishindwi kutuma hata buku kwa kweli + wasanii wenzake na wadau wengine hakika atanusurika....ila HISANI HUANZIA NYUMBANI.
 
Msaada upi exactly?wa kifikra,kiuchumi au wa kimwili?...
 
amefika hapa kwa sababu ya watu wachache.
 
utandu i reserved your comment vitendo sasa ..!
 
Last edited by a moderator:
Mkimaliza kumsaidia Daz Mwalimu naomba na mzee wa kidali pooo nae afikiriwe nahisi ana tatizo la kifua uyu.
 
Daz Mwalimu.
Mr Nice
View attachment 216702
Chid Benz The Kingkong

Duh muzic industry imekua sehemu ya kupoteza ndugu zetu nahisi wanapata umaarufu alafu hakuna mtu wa kuwa-direct kwenye njia sahihi,sasa sijui tutawasaidia wangapi,hao ni wachache bado list ni ndefu.
 
watu wanauliza yupo wapi daz kiukweli daz sasa n kam ndege asiye na makazi leo utamuona moro baada ya mda mbeya mara uringa mar dar hatulii mda huu unaweza ambiwa yupo moro kumbe wapi hayupo moro kaja dar yani haeleweki makazi yake
 
acha wafe,si wanawaiga akina eminem!wangekuwa na jinsia za kike wangepelekwa rehab na ikulu kama ray c,..besides,walipokuwa wanapiga hela na kukesha kila club wakituchalazia walispend na sisi cash zao?
 
Yaani huyu jamaa unajua kwanini walimuita daz baba?ujue sie tuliokulia vijiweni daz ni ganja aka mmea sasa mpaka mtu wanamuita jina la bangi unategemea nini yule bangi alianza kitambo toka utotoni mpaka ikazoeleka mwilini ila alipo jichanganya kwenye sembe dah hiyo haina mzoefu tumsaidie jamani asije kwenda na maji sembe mbaya aise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…