Daz Baba anaitaji msaada wa haraka....Iangaliwe namna ya kumsaidia

Jamaa alikua mkali sana... nkiwa sekondari nilinunua album yake ilikua kali sana......
 
sembe kiboko jamaa kaisha kabaki fuvu rayc msaidie na huyu ale dose
 
nilimuona Mwenge karibu na BP yuko na masela wake

wako choka mbaya... na hizo dread zilivyochachamaa sasa
 
Akila raha zake hatukushirikishwa leo kimenuka ndio mashabiki wanaombwa Msaada.... Ale tu kwani alilichuma mwenyewe
 
Watu hawamjui daz baba vizuri. Mi kipindi namuona daz baba akivuta bangi, huwezi kumtofautisha na mbuzi, ni anatafuna kabisa. Sasa mtu wa aina hiyo unamsaidiaje?
 
nyimbo aimbe yeye, hela apate yeye, madawa avute yeye, mchango nitoe mimi.. majangaa
 
a groupie like you can't tell me nuttin',..unataka nianze kumlilia mtu aliyeabuse hela aliyoipata kwa miunga!!!!watu type kama wewe unakuta una ndugu wana shida wanahitaji msaada lakini unamshobokea huyo teja!get outta here a stan..umenikera.

Kiingereza cha kwenye nyimbo za Birdman hicho hakikusaidii lolote mkuu. Kipi kimekufanya uongee maneno yenye kuonyesha ujinga wako kiasi hicho, nimekwambia Mungu ashughulike na uzao wako. Kosa ni nini?
 
ni wapi nimeulaani mkuu, we ni mtanzania au mhindi? kushughulika hivi ni sawa na kulaani?
unaweza kushughulika kwa mema au mabaya, sasa kwanini ukimbilie kwenye kulaani?

Mungu atashughulika na uzao wake??? mmmh!!!?? samahani kama nimeinterpret vibaya, but truly sound weird to me
 
Niliwahi kukutana nae Corner Bar mwaka juzi alikuwa amechoka balaa.
 
Nakumbuka Ferooz alimfukuza kundini huyu mshikaji sababu ya kula unga....Leo hii feruz nae gari imewaka inakaribia kuzima kama daz.

Mkuu acha utani! Feruzi gari limewaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…