Daz Baba anaitaji msaada wa haraka....Iangaliwe namna ya kumsaidia


Ungemsaidia yule kijana aliyehititaji msaada wako kipindi anasaka karo ya shule,ningesapoti huu ujumbe wako. 👐
 
unga kweli hatari kwa afya ya mwili na akili
 
Tatizo lao walikua wakifika kwa majani wakimkuta ananyonga na wao wanataka wapige pafu ili majani awaone masela. Matokeo yake ndo hayo pumbafff zao

Tajiri anakula jana maskini anakula sembe
 

Attachments

  • 1420831665225.jpg
    7.6 KB · Views: 649
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…