Huyo Michael Jackson mwenyewe alikuwa anafanya collabo itakuja kuwa Kiba! Mtu anatembea kwa mguu toka Ubungo hadi Posta halafu anasingizia anafanya mazoezi kumbe hana nauli!!!![/QUOT
ahahaha!nimecheka na ninaendelea kucheka sana tu
Yaani watu wana Ugwadu wale sijawahi kuonaa!!ila mie nafurahi tu jinsi gani wanadhihirisha UNAFIKI wao
Oooh kiba hapendi kiki wala collabo na wanaija "kumbe wanajihashua tu,wanapenda sana kiki na sifa ila sema hawakua na cha kuonyesha"
Wengi wa wanamuziki wa Nigeria wamegundua kufanya collabo na Dai inaongeza soko kwenye East Africa.
Wanaojua jambo hawana sababu ya kuweka figisu figisu; wataongea uhalisia bila kupinda maneno! Sio siri, nilipokuwa nasikiliza ile clip ya D'Banj sikutarajia kama mwanamuziki mkubwa kama yeye angejishusha kiasi kile na kuelezea wazi wazi ni namna gani bado anahitaji collabo na Diamond!!!
Nakumbuka mwaka jana Chibu alipokuwa South Africa na kutangaza msululu wa wasanii wanaoimba collabo na yeye, kama kawaida yao; watu wakasema anatafuta kick lakini few months later ikaja kudhihirika baada ya ngoma moja baada ya nyingine kuanza kudondoka!
Ni sheedah, nilivyoona hii heading nilijua kick za kijana wetu, kama ni kweli basi Diamond noma. Dbanj kafanya kazi hadi na kina Kanye West halafu Leo aje kushobokea kollabo nawe? Diamond unazali aisee
dah sikutaka kusema hii kitu ila nimejitahidi niseme weeeeeee nimeshindwa...
Hivi hii habari ingekua inamhusu bwana tembo yaani d'banj ndio kamrequest bwana tembo, pangetosha kweli?
Kweli kabisa, King atabaki kuwa King kwa miaka billion 9 haidhuru hata kama hana cha kujivunia kwenye huo u-King wake zaidi ya kuendelea kujivunia collabo ya ahsante Airtel ambayo haikumpeleka popote!!!kwa hiyo kwa kifupi ni kwamba dimond kaogopa kolabo hiyo coz banj ni msanii mkubwa hahahaahaaaaa asa angeitwa na r.kelly je si angeenda kujiua kabisa?...jiamini weweee mwenzio kafanya na r.kelly 2011 ww 2015 unamuogopa banj?...kiaz kweli king atabak kuwa king tu...miaka bilion 9.
kwa hiyo kwa kifupi ni kwamba dimond kaogopa kolabo hiyo coz banj ni msanii mkubwa hahahaahaaaaa asa angeitwa na r.kelly je si angeenda kujiua kabisa?...jiamini weweee mwenzio kafanya na r.kelly 2011 ww 2015 unamuogopa banj?...kiaz kweli king atabak kuwa king tu...miaka bilion 9.
Diamond ni msanii mkubwa sana sema wabongo wameshamzoea ndo maana wanamuona mdogo.
kwa hiyo kwa kifupi ni kwamba dimond kaogopa kolabo hiyo coz banj ni msanii mkubwa hahahaahaaaaa asa angeitwa na r.kelly je si angeenda kujiua kabisa?...jiamini weweee mwenzio kafanya na r.kelly 2011 ww 2015 unamuogopa banj?...kiaz kweli king atabak kuwa king tu...miaka bilion 9.
kwa hiyo kwa kifupi ni kwamba dimond kaogopa kolabo hiyo coz banj ni msanii mkubwa hahahaahaaaaa asa angeitwa na r.kelly je si angeenda kujiua kabisa?...jiamini weweee mwenzio kafanya na r.kelly 2011 ww 2015 unamuogopa banj?...kiaz kweli king atabak kuwa king tu...miaka bilion 9.
Pasingelalika ingekua ni kelele tu kama tupo kwenye stoo ya vyuma chakavuAhahahahahaha!!ingekuwa upande wa pili sana hii habari mama weeeee tusingelala!!!go goo gooo chibuuu
Pasingelalika ingekua ni kelele tu kama tupo kwenye stoo ya vyuma chakavu
Hiyo hatusemi in zari but diamond in moja kati ya vijana walioingia kwenye game akiwaa ashatabiliwa Kuwa mshindiNi sheedah, nilivyoona hii heading nilijua kick za kijana wetu, kama ni kweli basi Diamond noma. Dbanj kafanya kazi hadi na kina Kanye West halafu Leo aje kushobokea kollabo nawe? Diamond unazali aisee