D'banj amlalamikia Diamond kwa kumzungusha kufanya nae collable

D'banj amlalamikia Diamond kwa kumzungusha kufanya nae collable

Yaani watu wana Ugwadu wale sijawahi kuonaa!!ila mie nafurahi tu jinsi gani wanadhihirisha UNAFIKI wao

Oooh kiba hapendi kiki wala collabo na wanaija "kumbe wanajihashua tu,wanapenda sana kiki na sifa ila sema hawakua na cha kuonyesha"

Ukweli mchungu sana tz watu wanafki sana mara hatutaki collabo leo davido anashangiliwa dah.oh diamond anapenda kiki too bad mtu wao anawaumbua mara kaomba kura kwa wema mara yupo kwa kidoti na mi nlichohisi kidoti alitiwa biti yule mbona unamshangilia na kucheza nyimbo ya diamond dada akapaniki katokwa mapovu now davido ,walisema nana mbovu now imechaguliwa category 3 na next year itachaguliwa
 
Wanaojua jambo hawana sababu ya kuweka figisu figisu; wataongea uhalisia bila kupinda maneno! Sio siri, nilipokuwa nasikiliza ile clip ya D'Banj sikutarajia kama mwanamuziki mkubwa kama yeye angejishusha kiasi kile na kuelezea wazi wazi ni namna gani bado anahitaji collabo na Diamond!!!

Nakumbuka mwaka jana Chibu alipokuwa South Africa na kutangaza msululu wa wasanii wanaoimba collabo na yeye, kama kawaida yao; watu wakasema anatafuta kick lakini few months later ikaja kudhihirika baada ya ngoma moja baada ya nyingine kuanza kudondoka!

Jamani hii habari mbona tamu hivi! Chibu wetu oyeeeeeeeeee! Sina cha kuongeza zaidi ya kufurahi kuona jina la Diamond limekua kwa kiasi hichi.
 
uyu dogo jamani nampa heshima yake mshikaj ananifurahisha balaa kaza utafika mbali zaidi ya hapo chibu da prezidaa of republic of bongo flava.
 
Ni sheedah, nilivyoona hii heading nilijua kick za kijana wetu, kama ni kweli basi Diamond noma. Dbanj kafanya kazi hadi na kina Kanye West halafu Leo aje kushobokea kollabo nawe? Diamond unazali aisee

Diamond ni msanii mkubwa sana sema wabongo wameshamzoea ndo maana wanamuona mdogo.
 
dah sikutaka kusema hii kitu ila nimejitahidi niseme weeeeeee nimeshindwa...

Hivi hii habari ingekua inamhusu bwana tembo yaani d'banj ndio kamrequest bwana tembo, pangetosha kweli?

kwa hiyo kwa kifupi ni kwamba dimond kaogopa kolabo hiyo coz banj ni msanii mkubwa hahahaahaaaaa asa angeitwa na r.kelly je si angeenda kujiua kabisa?...jiamini weweee mwenzio kafanya na r.kelly 2011 ww 2015 unamuogopa banj?...kiaz kweli king atabak kuwa king tu...miaka bilion 9.
 
Jamani hii habari mbona tamu hivi! Chibu wetu oyeeeeeeeeee! Sina cha kuongeza zaidi ya kufurahi kuona jina la Diamond limekua kwa kiasi hichi.
Hongera kwa kuchagua kitu kizuri... lakini usisahau: AFRIMMA.jpg
 
kwa hiyo kwa kifupi ni kwamba dimond kaogopa kolabo hiyo coz banj ni msanii mkubwa hahahaahaaaaa asa angeitwa na r.kelly je si angeenda kujiua kabisa?...jiamini weweee mwenzio kafanya na r.kelly 2011 ww 2015 unamuogopa banj?...kiaz kweli king atabak kuwa king tu...miaka bilion 9.
Kweli kabisa, King atabaki kuwa King kwa miaka billion 9 haidhuru hata kama hana cha kujivunia kwenye huo u-King wake zaidi ya kuendelea kujivunia collabo ya ahsante Airtel ambayo haikumpeleka popote!!!

NB: Usisahau kumpigia Davido manake dah, mna muda wa kutosha kibao... manake ukishapiga kwenye category moja ya East Africa tu mnakuwa free tofauti na sie wengine... mara utoke category hii, uhamie zile za magwiji wa Afrika, urudi kule.... yaani hadi zingine tunazisahau, afanaleki wallah!

VOTE FOR DAVIDO!!! VOTE FOR DAVIDO!!! VOTE FOR DAVIDO!!! VOTE FOR DAVIDO!!! VOTE FOR DAVIDO!!! VOTE FOR DAVIDO!!!
 
kwa hiyo kwa kifupi ni kwamba dimond kaogopa kolabo hiyo coz banj ni msanii mkubwa hahahaahaaaaa asa angeitwa na r.kelly je si angeenda kujiua kabisa?...jiamini weweee mwenzio kafanya na r.kelly 2011 ww 2015 unamuogopa banj?...kiaz kweli king atabak kuwa king tu...miaka bilion 9.

Kujifariji kunaruhusiwa pia kwenye hizi team zetu.
 
kwa hiyo kwa kifupi ni kwamba dimond kaogopa kolabo hiyo coz banj ni msanii mkubwa hahahaahaaaaa asa angeitwa na r.kelly je si angeenda kujiua kabisa?...jiamini weweee mwenzio kafanya na r.kelly 2011 ww 2015 unamuogopa banj?...kiaz kweli king atabak kuwa king tu...miaka bilion 9.

Kiba hakutoa collable aliimba wimbo wa pamoja wa kampeni na R kelly pamoja na wasanii wengine

The same thing mwaka jana 2014 diamond aliimba wimbo wa kampeni wa do agric na dibanj na wasanii wengine na sio collable Tunayoiongelea sisi.. Na huo mwaka jana Dbanj ndio akamtafuta amshirikishe Baba lao ni sawa na R kelly baada ya wimbo wa kampeni angemtafuta kiba amshirikishe wimbo binafsi......

TOA UPORI ELEWA MADA
 
kwa hiyo kwa kifupi ni kwamba dimond kaogopa kolabo hiyo coz banj ni msanii mkubwa hahahaahaaaaa asa angeitwa na r.kelly je si angeenda kujiua kabisa?...jiamini weweee mwenzio kafanya na r.kelly 2011 ww 2015 unamuogopa banj?...kiaz kweli king atabak kuwa king tu...miaka bilion 9.

If this gives you relief then keep believing on it.
 
Ni sheedah, nilivyoona hii heading nilijua kick za kijana wetu, kama ni kweli basi Diamond noma. Dbanj kafanya kazi hadi na kina Kanye West halafu Leo aje kushobokea kollabo nawe? Diamond unazali aisee
Hiyo hatusemi in zari but diamond in moja kati ya vijana walioingia kwenye game akiwaa ashatabiliwa Kuwa mshindi
 
Back
Top Bottom